Kwa hili lililotokea Kigoma CHADEMA wasithubutu kumfukuza Zitto Kabwe

NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
1528654_635387156523359_1283011894_n.jpg

Kama yeye ni zaidi ya chama, aanzishe Kigoma Patriotic pary. Tapata wafuasi. Hatakiwi!
 
Back
Top Bottom