assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
sasa unashauri cdm iendelee kumlea mwanachama anayejijenga binafsi au anayejenga chama!? Labda aje hapa mwenyewe akupinge unachosema lakini kwa mwenye upeo sio wazo zuri.NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
umeongea vyema cc mzeewa tengeru,mboweZitto bado ni mwanachama,kwani umeambiwa kafukuzwa... Wala hatafukuzwa.
Sheikh Takadir alikua na nguvu ndani ya TANU pia
Rostam aliweza kuandaa umati wa kulia na kuzimia
Unapoenda kwenye mkutano Kigoma ukaambatana na wasanii wazawa wa Kigoma All Stars unaleta mvuto wa kipekee maana wananchi watadhani kuna show na hayo ya kamati kuu na baraza kuu sidhani kama wanayajua
By the way nguvu ya mtu Kigoma ingesababisha tuwe na wabunge na madiwani wengi wa CHADEMA
Jitihada hizi za dharura za CCM haziwezi kubadili muelekeo wa maamuzi ya CHADEMA
Hata Yesu alikuwa na wafuasi ila alisulubiwa,
Ni bora kuwa na kundi la watu wachache waadilifu kuliko kuwa na watu wengi mamlyki, wasaliti, nimesoma risala yake, hajalaumu maana anajua alilotenda