Kwa hili lililotokea Kigoma CHADEMA wasithubutu kumfukuza Zitto Kabwe

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
1528654_635387156523359_1283011894_n.jpg
 
acha hizo wewe... Msaliti hata akiwa na umaaru wa aina gani dawa ni moja tu, kama alivyofanya Rais wa Korea ya kaskazini alivyomnyonga mjomba wake... Zitto lazima akiri na aombe msamaha hadharani kwa kuisaliti CDM na wananchi watanzania ktk vita dhidi ya ufisadi...
 
Hata Yesu alikuwa na wafuasi ila alisulubiwa,
Ni bora kuwa na kundi la watu wachache waadilifu kuliko kuwa na watu wengi mamlyki, wasaliti, nimesoma risala yake, hajalaumu maana anajua alilotenda
 
NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
1528654_635387156523359_1283011894_n.jpg

Chadema hawalelei Kirusi;
Uongozi wa Chadema ni Mamlaka Kamili, waache wagange njaa mpaka wachoke lakini ukweli utabaki kuwa ni Kamati Kuu tu ndio yenye Kura ya Turufu.
 
Wasithubutu akina nani? Inaonyesha wazi u upande wa pili wa Chadema.CCM mnaomba usiku na mchana CDM ife na mlishasema itakufa kabla ya 2014.Sasa kama maamuzi yetu(cdm) chama kitakufa so ndio ingekuwa furaha kwenu iweje tena mtuonee huruma?Simanzi ya nini badala ya furaha?Kweli wachawi hulia sana kwenye msiba.
 
...aondoke na mtandao wake wakaanzishe chama chao.anakula cha mbavu kama kawa...
 
NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
sasa unashauri cdm iendelee kumlea mwanachama anayejijenga binafsi au anayejenga chama!? Labda aje hapa mwenyewe akupinge unachosema lakini kwa mwenye upeo sio wazo zuri.

Inasemekana kulikuwa na Magari 80, bodaboda 250.

Nimejaribu kuangalia picha sijaona kitu, au unayopicha nyingine utuonyeshe hali ilivyokuwa?
 
Huyo tushamkata mapembe!

Kwanza,hawa wote ni wanachama wa CCM!Kwa sababu hakuna mwanachadema yoyote anaeweza kuhudhuria mapokeni ya mbunge wa Chadema bila ya Tshirts au bendera ya Chadema.

Pili,ni mtu asiye na akili pekee anaweza kudhani kuwa Zitto ana mapenzi ya kweli na CDM kwani ni siku chache tu Dr.W.Slaa alipita maeneo hayo kwa hiyo haikuwa sawa kwa Zitto kupita maeneo hayo,hii ni kumuonyesha mkuu wako kuwa 'huniwezi'!

Tatu,kuna majimbo mengi tu ambayo tulipoteza 2010 kwa sababu au yalichakachuliwa au tulishindwa kwa haki.Kuliko kuwa na msaliti huyu ndani ya chama ni bora tuhesabu kuwa jimbo hilo tumelipoteza.

Chama chochote kile hakiwezi kukubali usaliti wa namna hii!Hebu jiulizeni hivi hii ziara inaratibiwa na kufadhiliwa na nani?
Mie naomba CC ya CDM imnyang'anye uanachama kabisa ili aende vyema CCM na pengine anaweza kupata bahati ya kuteuliwa waziri wa maliasili na utalii akawasaidie kuiba pembe za ndovu vizuri!
 
NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
1528654_635387156523359_1283011894_n.jpg

Sheikh Takadir alikua na nguvu ndani ya TANU pia

Rostam aliweza kuandaa umati wa kulia na kuzimia

Unapoenda kwenye mkutano Kigoma ukaambatana na wasanii wazawa wa Kigoma All Stars unaleta mvuto wa kipekee maana wananchi watadhani kuna show na hayo ya kamati kuu na baraza kuu sidhani kama wanayajua

By the way nguvu ya mtu Kigoma ingesababisha tuwe na wabunge na madiwani wengi wa CHADEMA

Jitihada hizi za dharura za CCM haziwezi kubadili muelekeo wa maamuzi ya CHADEMA
 
Kwahiyo NI NANI wanaosema CHADEMA ni CHAMA CHA WACHAGGA? Sasa Kama ZITTO KABWE Amepokelewa VIZURI KIGOMA Basi na Mwakyembe atapokelewa VIZURI sana MKOANI KWAKE na pia KAGASHEKI atapokelewa kwa nderemo akirudi BUKOBA...

Mtaanza kujiuliza ni kina nani wameigawa nchi nzuri na salama kama Tanzania?

Iliyokuwa inasifika DUNIANI kote hadi kwenye KILIO cha MANDELA rais wao pamoja na kutokumpenda Rais wa kwanza NYERERE alipewa heshima na hekima za juu kwa kutoa hotuba zilizoushangaza VIONGOZI wa ULIMWENGU MZIMA jinsi nchi kama Tanzania ilivyokuwa na MOYO

Na haikuacha kusamehe wabaya wake... na ilijenga UMOJA nchini Mwake kwa kutumia LUGHA MOJA kiswahili pamoja na kuwa na makabila 130

Sasa ni nani anaanzisha UTENGANO CHUKI ndani ya nchi hii?

Kwahiyo kila Mwanasiasa atakwenda kwao kuhamasisha watu wa kwao? Ndio Mwisho wa UMOJA wa NCHI HII?

Na YOTE HAYO YALIANZISHWA na RAIS wa SASA wa nchi HII ambaye ni kipenzi wa ZITTO KABWE

GO FIGURE
 
Sheikh Takadir alikua na nguvu ndani ya TANU pia

Rostam aliweza kuandaa umati wa kulia na kuzimia

Unapoenda kwenye mkutano Kigoma ukaambatana na wasanii wazawa wa Kigoma All Stars unaleta mvuto wa kipekee maana wananchi watadhani kuna show na hayo ya kamati kuu na baraza kuu sidhani kama wanayajua

By the way nguvu ya mtu Kigoma ingesababisha tuwe na wabunge na madiwani wengi wa CHADEMA

Jitihada hizi za dharura za CCM haziwezi kubadili muelekeo wa maamuzi ya CHADEMA

Kwa nini hajatangza kujiondoa Chadema na watu wake wakaanzishe Chama chao ?
 
Hata Yesu alikuwa na wafuasi ila alisulubiwa,
Ni bora kuwa na kundi la watu wachache waadilifu kuliko kuwa na watu wengi mamlyki, wasaliti, nimesoma risala yake, hajalaumu maana anajua alilotenda

Duh!
Kweli sikio la kufa la CHADEMA halisikii dawa.
 
NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,tanga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
1528654_635387156523359_1283011894_n.jpg

Zitto hana ushawishi wowote wala mashabiki wengi! Haya ni mazingaombwe tu kama yanavyofanywa na CCM kutumia fedha nyingi na nguvu nyingi kuvuta watu (na bado sio wengi). Na hii backmail mnayotaka kutumia mmekwama kwani ni LAZIMA atimuliwe!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom