Maggid,
What is a parliament?
The House of Commons (Bunge) is the democratically elected house of the UK Parliament, responsible for making laws and checking the work of Government House of Commons Information Office - UK Parliament
Sasa Maggid demokrasia haiishii wakati wa kumaliza uchaguzi wa Wabunge kwa kura, bali demokrasia ni muendelezo toka kumalizika kwa kura na pia Spika, wabunge, kamati za bunge kuendelea kupata mrejesho toka kwa wapiga kura kwa njia mbalimbali iwe mikutano kati ya mbunge na wapiga kura, kuwasiliana/kupokea mrejesho kwa barua-pepe, simu, txt-msg, maandamano, JF n.k listi ni ndefu.
Hivyo CHADEMA na wananchi wanaompatia Spika na Naibu spika mrejesho kwa njia ya aina yoyote ile ni haki ya kidemokrasia, maana demokrasia haihitimishwi na kumalizika zoezi la kura bali ni zoezi endelevu la kuwashirikisha wapiga kura kwa kama nilivyoainisha ktk para hapo juu.
Pia kuonesha Bunge live ni sehemu ya zoezi endelevu la demokrasia ya wapiga kura kupata mrejesho wa nini wabunge wao wanafanya Bungeni.