Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
anamtetea mnyarukolo mwenzake![/QUOTE]Mawazo ya kijinga kabisa,mnafikiri kila mtu amebeba sera za mapande?
anamtetea mnyarukolo mwenzake![/QUOTE]Mawazo ya kijinga kabisa,mnafikiri kila mtu amebeba sera za mapande?
Mtafute mwalimu wa siasa akufundishe somo la siasa za majukwaa ya kampeni za vyama katika chaguzi na jukwaa la siasa kushinikiza wanachama kumtukana spika utaona tofauti.Masomo mema.Lusinde naye ni chadema nini mkuu,,mbona unaleta kauli za nayani haoni alichonacho mkuu,,
KUMBE MAGGID NAYE MSHENZI HIVI, yani akili yake inaonyesha kuwa makinda ndio ameonewa lakn ndungai hajaonewa. Kuna tofaut gan kat ya alichofanyiwa ndungai na makinda? Kwa ndungai hawez sumbuliwa na wanawake wanao amini kuwa wabunge wanapesa? Unatumia masaburi kufikiri? Kama ni swala la kuweka namba hadharani, basi bunge ndiyo lina makosa kwa kuweka namba za wabunge wote kwenye website yao
Kama hutaki tukusaidiaje ila huo ndo ukweli!anamtetea mnyarukolo mwenzake![/QUOTE]Mawazo ya kijinga kabisa,mnafikiri kila mtu amebeba sera za mapande?
Maggid kweli wewe hamnazo!