NAFARIJIKA...!
Nimepokea kwa furaha na amani tele ndani ya moyo na akili yangu maagizo yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Waziri wa Viwanda na Biashara juu ya kuendelea na kufufua upya viwanda vya korosho Mkoani Mtwara ambapo itasiaidia kupanua soko la zao hilo lakini pia kutoa ajira kwa vijana wa Mtwara.
Pia nimeridhika na kukiri kwa dhati kuwa sasa CCM imeamua kufanya kazi yake na wananchi wanapaswa kuunga mkona juhudi hizi, pale Katibu wa Itikadi na Uenezi Mheshimiwa Nape Moses Nnauye alipotoa maagizo kuwa sasa hakuna tena mtoto kurudishwa nyumbani kwa kukosa ada ama mchango wowote mashuleni. Agizo hili litaondoa usumbufu unaojitokeza na manyanyaso wanayoyapata watoto masikini mashuleni.
Kwa kasi, nguvu na ari hii wapinzani watasubiri sana...!

1. Mkuu wa mkoa ana bajeti gani ya kufufulia kiwanda cha korosho. Hata reasoning ndogo tu huna?NAFARIJIKA...!
Nimepokea kwa furaha na amani tele ndani ya moyo na akili yangu maagizo yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Waziri wa Viwanda na Biashara juu ya kuendelea na kufufua upya viwanda vya korosho Mkoani Mtwara ambapo itasiaidia kupanua soko la zao hilo lakini pia kutoa ajira kwa vijana wa Mtwara.
Pia nimeridhika na kukiri kwa dhati kuwa sasa CCM imeamua kufanya kazi yake na wananchi wanapaswa kuunga mkona juhudi hizi, pale Katibu wa Itikadi na Uenezi Mheshimiwa Nape Moses Nnauye alipotoa maagizo kuwa sasa hakuna tena mtoto kurudishwa nyumbani kwa kukosa ada ama mchango wowote mashuleni. Agizo hili litaondoa usumbufu unaojitokeza na manyanyaso wanayoyapata watoto masikini mashuleni.
Kwa kasi, nguvu na ari hii wapinzani watasubiri sana...!
Nilijua kuna kilichofanyika kumbe ni maagizo, hivi maagizo ya JK mangapi yametekelezwa.
Mimi si mtu wa Mtwara bali ni mtu wa Nachingwea wilaya iliyopo mkoa wa Lindi, lakini matatizo ama kero hizo za Mtwara juu ya korosho hazina tofauti na huku kwetu, lakini si tu kuwa matatizo yetu yanafanana lakini pia aina ya watu wake tunafafa, ninayo haki lakini pia wajibu wa kuyazungumza yale yanayowahusu watu wa kusini, haya ni yetu...!
Umerogwa wewe, si bure.
NAFARIJIKA...!
Nimepokea kwa furaha na amani tele ndani ya moyo na akili yangu maagizo yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Waziri wa Viwanda na Biashara juu ya kuendelea na kufufua upya viwanda vya korosho Mkoani Mtwara ambapo itasiaidia kupanua soko la zao hilo lakini pia kutoa ajira kwa vijana wa Mtwara.
Pia nimeridhika na kukiri kwa dhati kuwa sasa CCM imeamua kufanya kazi yake na wananchi wanapaswa kuunga mkona juhudi hizi, pale Katibu wa Itikadi na Uenezi Mheshimiwa Nape Moses Nnauye alipotoa maagizo kuwa sasa hakuna tena mtoto kurudishwa nyumbani kwa kukosa ada ama mchango wowote mashuleni. Agizo hili litaondoa usumbufu unaojitokeza na manyanyaso wanayoyapata watoto masikini mashuleni.
Kwa kasi, nguvu na ari hii wapinzani watasubiri sana...!
Kweli wewe akili yako imechakaa, kama maagizo ya raisi mwenyewe huwa hayaheshimiwi wala kutekelezwa, itakuwa maagizo ya Kinana na mjinga Nape? Vile viwanda vya korosho vilisha uzwa zamani, sasa ni nani wa kuvifufua kama waliovinunua wananufaika kwa kuvifanya maghara?NAFARIJIKA...!