Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

Maneno yako twayyyib! kale kajiumati wengi wao ni mafundi gereji waliobebwa na malori ya wachaga kutoka kigogo dampo, tabata, mabaamedi wa Sinza, wauza kitimoto wa kimara, mbezi, na ubungo.

Hawa Chadema kweli wageni mjini hawajawahi kuona jangwa linavyojazwa? ule ulikuwa mkutano wa Injili tu ndio maana kulikuwa na makapu ya sadaka Lema anakusanya, mkutano wa siasa sadaka za nini?

Mkuu huyo ni wewe au ni busha linatikisika? Hamchelewi kuweka udini kwenye mambo mnayoona mmeshindwa..Haya bwana ila ukweli hauwezi kuzuiwa na maneno yako, na pia elewa, ubungo iko dar, kawe iko dar na kuna majimbo mengine mengi tunayachukua kiulaini hapo
 
Napita mimi 2015 mje kutusalimia magogoni tutawapa viwanja mwabepande kaa hivyo hivyo na udar wako
 
Kweli huna unalolijua kama member mmoja alivyosema. Bila kumung'unya maneno, ingekuwa CCM haikuchakachua matokeo kule Segerea CDM ingekuwa na majimbo mangapi Dar na CCM ingebaki na mangapi?

Duh kumbe unaleta hadithi tena badala ya hoja, mambo yakusema inge...... maana yake anae sema hana uhakika na hakuna anachokijua, na ww umejidhihirisha hivyo. JF si mahal a pako na hapakufai
 
Sio kila thread lazima kuchangia CCM inatuma watu humu jf kuchokoza watu hata ID zao zinadhihirisha hilo tuwapuuze.
 
"By GeniusBrain
..................Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu"

Hayo mavuno ni mengi tosha inaonyesha na sisi tupo hivyo ni yetu pia.
 
Sio kila thread lazima kuchangia CCM inatuma watu humu jf kuchokoza watu hata ID zao zinadhihirisha hilo tuwapuuze.

ukiisha on a mtu anakimbia hoja, ujue basi hana hoja na JF si mahal a panampo mstahili yeye kuwemo, sasa tukimba mkuu ujitoe JF tutakuwa tumefanya kosa?
 
"By GeniusBrain
..................Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu"

Hayo mavuno ni mengi tosha inaonyesha na sisi tupo hivyo ni yetu pia.

Cost benefit iko wapi ?
 
Tathmini ya kisayansi ya mkutano wa cdm jangwani ni kama ifuatavyo :
  • Imedhihirika kweli DAR KUNA WENYEWE na si kama Arusha, kwani kwa idadi ya watu , Dar ina watu wengi kuliko Arusha , ila Arusha kwenye mikutano ya cdm watu wengi hujitokeza kuliko hata wale walioonekana jangwani pale kwenye kile ‘kijiumati’ japokuwa matangazo yalikuwa mengi. Hii yadhihirisha Dar ina wenyewe, na wengi wetu
  • ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki
  • Mbowe adhihirisha ni mgeni na historia ya Dar. Uwanja wa Jangwani anaujua historia yake? Ni jambo la kushangaza na kustaajabisha kuuita uwanja wa jangwani ni ‘cdm square’. Wenye hadhi hiyo ni wakazi wa Dar wenye kuujua asili ya uwanja ule, mtu km Mbowe wakuja hadhi hiyo ameipata wapi? Ni jambo la ajabu na kustaajabisha
  • Cdm kwa dar mambo ni magumu sana, tuliambiwa kwenye kwenye magazeti (na sijui km ni kweli) kuwa kwa arusha na yenye watu wachache kuzidi Dar watu 10,000 walirudisha kadi, ila kwa Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu
Kwa haya machache yaonyesha wazi cdm kwa Dar mna kazi ya ziada, Dar ina wenyewe sio km Arusha. Na wengi waliojitokeza kwenye ule mkutano 80% ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki.
kwani sehemu kuitwa jina kunahitaji nini zaidi ya umaarufu au tukio muhimu la kihistoria; afterall what is in a name?! Sinza kuna SINZA KWA REMMY: Msasani lilitokana na mtu aliyeishi maeneo hayo MUSA HASSANI; leo kuna Msasani kwa Mwalimu Nyerere, kuna Mbezi Tangi bovu na Kibaha picha ya ndege! je hayo yalitokana na nini? Je kwa nini Jangwani pasiweze kubatizwa CDM SQUARE! na kule Misri je unajua chimbuko la Tahrir square?!
kama huna la kusema ambalo lina akili simply keep quite; hatuna medali za ujuha.
 
Wana bodi nashauri tujenge utamaduni wa kupima thread zinazoletwa hapa jukwaani,maana watu kama huyu anaejiita Geniusbrain,sioni alichopost zaidi ya utumbo tu,kuendelea kujibizana na mtu kama huyu anaeweza kukiogopa na kukikimbia kivuli chake ni kupoteza muda wetu wakuu,jitu kama hili ni la kuachana nalo,kama haoni kinachoendelea na wala hasikii,wala hasikii hata harufu basi asubiri kusimuliwa japo huenda napo asisikie.na kwa kauli za mtu kama huyu kamwe hazina athari kwetu zaidi ni athari kwake

Hatutoogopa kusema ukweli panapo ukweli, jifariji ila message sent and delivered, najua inawauma ila ukweli jua siku zote unauma
 
ELIMU+CHINI+TENA.jpg
[/QUOTE

Baada ya adhabu ya viboko kuzuiliwa shuleni, siku hizi walimu wanatoa adhabu za kukaa chini.
 
GeniusBrain

Today 14:30
#83
JF Senior Expert MemberArray

Join Date : 3rd November 2010
Location : CHADEMA Makao Makuu
Posts : 2,840
Rep Power : 966
Likes Received124
Likes Given0

Ndiyo maana wewe gamba limekushika yaani kukaakaa mda wote humu JF hujawahi kuona aliye na mwazo mazuri ukayapenda, hata MAGAMBA wenzio! Lo!.
Mbinafsi, sishangai kuona huko kwa "Chukua Chako Mapema". Huwezi kumpa mtu kitu.

kwani sehemu kuitwa jina kunahitaji nini zaidi ya umaarufu au tukio muhimu la kihistoria; afterall what is in a name?! Sinza kuna SINZA KWA REMMY: Msasani lilitokana na mtu aliyeishi maeneo hayo MUSA HASSANI; leo kuna Msasani kwa Mwalimu Nyerere, kuna Mbezi Tangi bovu na Kibaha picha ya ndege! je hayo yalitokana na nini? Je kwa nini Jangwani pasiweze kubatizwa CDM SQUARE! na kule Misri je unajua chimbuko la Tahrir square?!
kama huna la kusema ambalo lina akili simply keep quite; hatuna medali za ujuha.

Msipende vya watu viwe vya kwenu, Jangwani tayari kuna jina lake jangwani, ndio nikawauliza mnajua neon jangwani liliko toke a? sasa nyie mnakuja sijui na cdm square, ndio nikasema hamjui history,someni history ndipo mngekuja na neno au jina lenu, ila kwa jangwani hilo jina tayari lina history yake
 
Tathmini ya kisayansi ya mkutano wa cdm jangwani ni kama ifuatavyo :
  • Imedhihirika kweli DAR KUNA WENYEWE na si kama Arusha, kwani kwa idadi ya watu , Dar ina watu wengi kuliko Arusha , ila Arusha kwenye mikutano ya cdm watu wengi hujitokeza kuliko hata wale walioonekana jangwani pale kwenye kile ‘kijiumati’ japokuwa matangazo yalikuwa mengi. Hii yadhihirisha Dar ina wenyewe, na wengi wetu ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki
  • Mbowe adhihirisha ni mgeni na historia ya Dar. Uwanja wa Jangwani anaujua historia yake? Ni jambo la kushangaza na kustaajabisha kuuita uwanja wa jangwani ni ‘cdm square’. Wenye hadhi hiyo ni wakazi wa Dar wenye kuujua asili ya uwanja ule, mtu km Mbowe wakuja hadhi hiyo ameipata wapi? Ni jambo la ajabu na kustaajabisha
  • Cdm kwa dar mambo ni magumu sana, tuliambiwa kwenye kwenye magazeti (na sijui km ni kweli) kuwa kwa arusha na yenye watu wachache kuzidi Dar watu 10,000 walirudisha kadi, ila kwa Dar na yenye watu wengi zaidi ya Arusha ni 3100 tu. Ndio narudia kusema Dar ina wenyewe sio mji wa kuvamia vamia tu
Kwa haya machache yaonyesha wazi cdm kwa Dar mna kazi ya ziada, Dar ina wenyewe sio km Arusha. Na wengi waliojitokeza kwenye ule mkutano 80% ni wakuja si wana Dar kindaki ndaki.

Wewe wasema!
 
Mwaka huu mmeshikwa pabaya! Umekazania Dar kuna Wenyewe, sasa wenyewe ndo kina nani?!
Acha kuwa na mawazo magando wewe, nijuavyo mimi Dar ya sasa sio ya kipindi kile Taifa linapata uhuru kutoka kwa mkoloni, ambapo asilimia kubwa walikuwa Wazaramo and the likes. Dar ya sasa ina-mchanganyiko wa watu (makabila) kila aina na kutoka kila pembe ya nchi kuanzia Wazaramo, Wasukuma, wadengereko, waha, wachaga etc. Single yenu mliyotoa ya u-Kaskazini imeanza kuchuja nini?! mmekuja na Single nyingne ya 'Dar kuna Wenyewe'?!. Baada ya hii single ya sasa, mtakuja na single gani?! Mbona kipindi hiki tutasikia mengi.
Hii ni dalili ya kushikwa sehemu mbaya na magamba yamepata moto.

Realy! Tedo like this.
 
GeniusBrain

Today 14:30
#83
JF Senior Expert MemberArray

Join Date : 3rd November 2010
Location : CHADEMA Makao Makuu
Posts : 2,840
Rep Power : 966
Likes Received124
Likes Given0

Ndiyo maana wewe gamba limekushika yaani kukaakaa mda wote humu JF hujawahi kuona aliye na mwazo mazuri ukayapenda, hata MAGAMBA wenzio! Lo!.
Mbinafsi, sishangai kuona huko kwa "Chukua Chako Mapema". Huwezi kumpa mtu kitu.

Kumbe umejiunga mwishoni mwa mwaka aisee, ukibisha na asiye jua na ww utakuwa km yeye
 
Mtasema mengi tu, ila ukweli lazima tuuseme, hakuna sehemu nchi hii isiyo na wenyewe, sasa nyie tukiwaambia hilo mnasema ubaguzi
Mpaka mwaka 2000 Kariakoo ilikuwa ya wazaramu kweli na nyumba zao za udongo lakini sasa ni maghorofa ndugu Tena ya watu wa kuja.
Hata hivyo na wazaramo, wakwere na wengineo sio wote CCM wengi CUF na CDM pia sasa wewe unasema ina wenyewe kwa mantiki ipi?.
 
Utaendelea kujisifu wa dar kindaki ndaki....wenzio tunatoka mkoa tunapiga business dar..tunajenga mikocheni....tunatanua kwenye viwanja high classic....tunakuacha temeke,keko magurumbasi na bendera ya CCM....Nyumba zetu,unakuja kupigia picha......sanasana utauza nyumba na kusogea kongowe...mwana kindaki ndaki huyo...we mjanja kweli....kumbe unajua dar imejengwa na kindaki ndaki?

Mods walisema wanashughulikia kitufe cha like... ona sasa ninavyo pata shida...
Tedo like this.
 
Kumbe umejiunga mwishoni mwa mwaka aisee, ukibisha na asiye jua na ww utakuwa km yeye
Jibu Hoja Kwani ni Uongo wewe Huchukui chako na kuwa mnyimi?.
Dhirisha kwa ku-like gamba mwenzio mmoja tu!

Hata hivyo na wewe Ulijiunga mwishoni mwa mwaka!
 
Back
Top Bottom