Kwa Hili Kikwete Umenena

naona huu mtandao sasa unataka badilishwa kuwa wa kuongea mambo yasio ya msingi,kama rais katoa ahadi kwanini uaenzi kumponda wakati muda wake wa kuondoka bado sana.....punguzeni siasa za kukurupuka,mi naami anaweza fanya mabadiliko.
 
Hii nayo ni Ahadi mpya!!! Sielewi ni ya 400 au 500!

Yakhe Motoni Wataenda Wengi!
 
HA HA HA! Umemalizia vizuri sana.
Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!

Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!
 
Tumpe muda na tutamshika pale atakapomaliza muda wake. Tuyahifadhi haya maneno.
 
yaani hakuna mkuu wa kaya aliye bora kama jk, nyie ni katika wale 15% Ambao hata kwa vipi hamuwezi kumpenda jk hata awafanyie kitu gani! hivi mnapojadili humu ndani mnasoma vyuo alivyojenga yeye, mnatembea mkipita mnatukana kwenye barabara za lami alizojenga yeye! siku zote shukurani ya punda ni mateke!

Huo ni wajibu wa serekali na sio hisani funguka ndugu!
 
Ulojo mtupu...kila leo umemeee umemeeee watu wamekua kama majuha umeme ukiwaka wanashangilia hii nchi ya ovyo sana kazi kula mirushwa tuuu na michakato isiyochakatika!!! fanyeni kama Zambia kwani nini?!!
 
Vile viwanja vya ndege vya kimataifa alvyoahidi rukwa, kigoma na bukoba, hivi vmeshaanza kujengwa.
 
Back
Top Bottom