Kwa Hili Kikwete Umenena

Hadithi! Hadithiiiií? Hadithi njoo, uwongo njoo, utamu kolea. Na mito aliyoahidi kuwapelekea wakazi wa sehemu zenye ukame ili awape vivuko ametimiza? Juzi tu kaahidi DNA test kwa maiti zilizoshindwa kutambuliwa kt ajali ya meli mv spice nayo katimiza. Kweli anaota akiwa ana tembea. Tatizo la mtu mwongo anasahau jana alidanganya nini. Ale, ajambe, alale muda wake ukiisha aondoke. Kt uongozi wake hadi 2015 umeme utaendelea kuwa mgawo hadi hospitalini. Namnukuu kauli yake 'tatizo la umeme limetokana na ukame, tumepata mvua kidogo kina cha maji kidogo kt mabwawa yetu. kwani yeye amekuwa mvua kusema ataenda mtela/ kidatu anyeshee ili maji yajae tupate umeme wa kutosha? Sasa kiongozi mvivu wa kufikiria kama huyu anayewaza source ya umeme ni maji tu atatuambia nini?
 
Hivi wewe bado unamchukulia serious huyo jamaa mimi najuta lini atamaliza miaka yake 10 iliyobaki.

ukisoma vizuri alichoandika na title yake inahitaji weredi wa hali ya juu maana mkuu ndallo ka slaa vile inabidi utulie kwanza ndio ujibu..
 
Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!

Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!

Una uhakika hakuwa anatania?? Kwani alikuwa hachekicheki au kutabasamu??

Bado sijasahau my beloved Rocky City kuwa kama Calfonia, Kigoma kuwa kama Dubai ndani ya miaaka 5. Au amebadili malengo?? Hivi alipokuwa anasema hayo ya Calfonia na Dubai hakujuwa kuwa yanahitaji umemem pia?? au alifikiri mi majengo tu?? Inawezekana hakufikiria huduma za jamii kabisa...... !!! Ngoja nikatizie hapa nisije pigwa ban!! We tunza kagenerator kako maana katakusave 2016 akiwa amestaafu zake Bagamoyo!!
 
Yaaani wewe bado unaimani na huyu jamaa,aisee wewe ni wakike au wa kiume?
 
Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!

Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!

Mimi nilikwisha acha kusikiliza maneno yake....najifanyia mambo yangu...
 
Kilaza anaogopa kivuli chake hana isue huyo! Anywy anatumia masaburi type kuwaza!
 
Teh teh teh ata mimi nilisikia,alafu anaongea kwa mbwembwe utafikiri sisi niwageni hatumjui.jamani..jamani..jamani..mzee wa kaya hana mshipa wa aibu..MKUDA!
 
Jamani mwenye takwimu sahihi za ahadi alizozitoa huyu bwana JK mpaka sasa hivi naomba anipe ninampango wa kumkabidhi Okampo azifanyie kazi!
 
" Alianza Nyerere - hakuyamaliza, akaja Mwinyi - hakuyamaliza, akafuata Mkapa - hayakuisha, hata mimi sitamaliza yote " mwisho wa kumunukuu
mytake : -
Hii itawezekana, labda Ngeleja aondoke akae Magufuli kwenye hiyo wizara
 
Halafu nimepata tetesi kutoka nyuma ya pazia kua Mo Ibrahim anampango wa kumtunukia JK yale mabilioni anayotoaga kila mwaka kwakiongozi wa Africa na mwaka huu hiyo zawadi inakwenda kwa mkuu wa kaya JK kwakutoa ahadi zisizotekelezeka.
 
yaani hakuna mkuu wa kaya aliye bora kama jk, nyie ni katika wale 15% Ambao hata kwa vipi hamuwezi kumpenda jk hata awafanyie kitu gani! hivi mnapojadili humu ndani mnasoma vyuo alivyojenga yeye, mnatembea mkipita mnatukana kwenye barabara za lami alizojenga yeye! siku zote shukurani ya punda ni mateke!
 
Back
Top Bottom