FADHILIEJ
Senior Member
- Nov 5, 2010
- 132
- 18
JAMANI TUWE WAUNGWANA PENYE PONGEZI TUTOE PONGEZI!!!
nimekuwa mfuatiliaji kwa siasa za Tz hasa kipindi ambacho Bw,Mkapa alipokuwa akigombea kwa awamu yake ya kwanza,MVUTO,WAPENZI NA NGUVU YA CCM ilikuwa kubwa kiasi kwamba nilikuwa ninakata tamaa kwamba iko siku kutatokea chama kitakachoitoa ccm machozi,
LAKINI TOKA BWANA KIKWETE Aingie madarakani NI NANI ATAKAYEPINGA kwamba KAZI ALIYOIANZA NA ANAYOENDELEA NAYO YA KUIPASUA,KUISAMBARATISHANA HATIMAYE KUIZIKA CCM HAISTAHILI KUPONGEZWA??????????
NAWASILISHA.
HONGERA MAGAMBA,