Kwa hili jamani tumpongeze JK

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18

JAMANI TUWE WAUNGWANA PENYE PONGEZI TUTOE PONGEZI!!!
nimekuwa mfuatiliaji kwa siasa za Tz hasa kipindi ambacho Bw,Mkapa alipokuwa akigombea kwa awamu yake ya kwanza,MVUTO,WAPENZI NA NGUVU YA CCM ilikuwa kubwa kiasi kwamba nilikuwa ninakata tamaa kwamba iko siku kutatokea chama kitakachoitoa ccm machozi,

LAKINI TOKA BWANA KIKWETE Aingie madarakani NI NANI ATAKAYEPINGA kwamba KAZI ALIYOIANZA NA ANAYOENDELEA NAYO YA KUIPASUA,KUISAMBARATISHANA HATIMAYE KUIZIKA CCM HAISTAHILI KUPONGEZWA??????????

NAWASILISHA.

HONGERA MAGAMBA,
 
Nakubariana na wewe kabisa jk anafaha kupongezwa kwa hili.nahisi ccm itakufa 2015 tumshukru sana jk kufanikisha kifo cha chama chetu
 
Big up kwa kutambua mchango wake wa hali na mali akiwa mdau wa karibu katika maendeleo ya tanzania tunayoitaka .
 
Nami nakupongeza mleta mada kwa kutumia masaburi yako effectively! Hongera sana!
 
JAMANI TUWE WAUNGWANA PENYE PONGEZI TUTOE PONGEZI!!!
nimekuwa mfuatiliaji kwa siasa za Tz hasa kipindi ambacho Bw,Mkapa alipokuwa akigombea kwa awamu yake ya kwanza,MVUTO,WAPENZI NA NGUVU YA CCM ilikuwa kubwa kiasi kwamba nilikuwa ninakata tamaa kwamba iko siku kutatokea chama kitakachoitoa ccm machozi,

LAKINI TOKA BWANA KIKWETE Aingie madarakani NI NANI ATAKAYEPINGA kwamba KAZI ALIYOIANZA NA ANAYOENDELEA NAYO YA KUIPASUA,KUISAMBARATISHANA HATIMAYE KUIZIKA CCM HAISTAHILI KUPONGEZWA??????????

NAWASILISHA.

HONGERA MAGAMBA,
My president is handsome.
 
Back
Top Bottom