Nape: Ikishindikana kukisafisha Chama NIKO TAYARI KUFUKUZWA KWENYE CHAMA KWA HILI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: Ikishindikana kukisafisha Chama NIKO TAYARI KUFUKUZWA KWENYE CHAMA KWA HILI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bitabo, Jan 8, 2012.

 1. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  WriwAKwWakuu nimeingia FB nikakutana na ujumbe huu kutoka kwa Mh. Nape. Pamoja na maoni ya FB Friends wake, nawawekeeni jamvini mpate kujadili hiyo kauli  [​IMG][h=6]Nape Nnauye
  [/h][h=6]Kujivua gamba!!... Zipo hoja za madai kuwa zoezi halijafanyika kabisa!.. Hivi Kamati Kuu ilipojiuzulu yenyewe na Sekretariete iliyopita mwezi April 2011, ilikuwa nini kama sio kuonyesha njia kwa mfano? Walitafakari na kuchukua hatua wenyewe!! Wanastahili pongezi. Leo watu wanataka kununua heshima kwa nguvu, waswahili wanatabiri watanunua aibu kwa bei arahisi! Hakuna aliye juu ya Chama bhana!![/h][​IMG]Like · · Share · 5 hours ago via mobile ·


  • 28 people like this.

   • [​IMG]Joseph Ngindo kweli nape bt c walikua watatu?hao wawili mmewashindwa?.5 hours ago via mobile · Like


   • [​IMG]Nape Nnauye Ubinadamu uko wapi, unapewa dhamana unatumia cheo kujilimbikizia mali then unaambiwa wajibika kwa kutumia vibaya dhamana ulopewa unakuja juu? Umeiba kiasi cha kutosha, umefisadi kiasi cha kutosha, hustahili kuendelea kuwa mmoja ya viongozi wa Chama cha Kambarage, hatuwezi kufumba macho! Dawa ni kuwajibika, sarakasi hazitasaidia! Happy New Year 2012. CCM BILA WALA RUSHWA INAWEZEKANA 20121! wana CCM tuungane kuchagua viongozi waadilifu kwa uhai na heshima ya chama chetu!5 hours ago · Like · [​IMG] 6


   • [​IMG]Joseph Ngindo Mnavita kubwa sana nape!Piganeni ndani ya chama angalieni na uchumi,ila mking'ang'ana na mafisadi 2 na kuwaacha wtz wanalala njaa hatutawaelewa.5 hours ago via mobile · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Edwin Masisi Kaka yangu, unachosema ni sahihi kabisa ila magamba mengine mliyoyaweka bayana mtayavua na mmepita mikoani kwenye mikutano ya hadhara mkitaja na majina yao mbona hamyavui? Hili pekee ndilo watu wanalolipigia kelele kuwa hamjafanikiwa katika kujivua gamba, kibaya zaidi kwenye kikao chenu kilichokuja na hoja ya kuvua gamba mlitoa na deadline kuwa wasipojivua wenyewe mtawafukuza, imekuwaje?5 hours ago · Like · [​IMG] 1   • [​IMG]David Amani Kinyongoh CCM bwana kwa kudandia hoja mpo juu....Mkubali tu,chama chenu kimepoteza muelekeo kwani ni dhambi kukubali? Hakuna msafi pale,na ndio maana kila mmoja anaogopa kumchukulia hatua mwenzake...maana kinachoendelea CCM ni kama..."MWAGA UGALI,MIE NIMWAGE MBOGA"....Na unafiki huu utawagharimu sana mwaka huu wa uchaguzi ndani ya chama.....5 hours ago · Like · [​IMG] 3


   • [​IMG]Joseph Ngindo David upo sahihi sana.5 hours ago via mobile · Like


   • [​IMG]Anthony Mtaka Chiganga Loading.......!!!!???
    5 hours ago · Like


   • [​IMG]Charles Natai ‎@Nape - kama kujivua gamba itafanyika ki haki ndani ya CCM nafikiri hakuna aliye salama kwani wana CCM asilimia 90 ni mafisadi...5 hours ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Hamis Hamad ‎Nape Nnauye; Wale magamba wawili kama hawajatoka hapo kutakuwa hakuna cha kujifunza Nape Moses Nnauye ! Zaidi ya zoezi zima kushindwaaaa ! Mbona kikao kilichopita Dodoma hatukuona lolote zaidi ya kusutana tu..........!5 hours ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Robert Saidi Kombo mkuu unamaneno matamu sana ila sitaki kuamini kama unayasemaga haya kwenye vikao vyenu husika,hivyo huu waswahili tunaweza kuuita unafiki mkubwa.5 hours ago · Like


   • [​IMG]Innocent Munyuku Shetani kwa maana ya Lucifer wangali na mawasiliano na Mungu ndicho kilichomo kwenye CCM! Kilichopo juu lazima kishuke, CCM haikani!5 hours ago · Like


   • [​IMG]Mrisho Gambo Nec iliyopita tulifanya kosa la kihistoria, mwisho ule ulionyesha mafisadi wameshinda. Na maana yake ni kupoteza mvuto kwa Chama chetu. Mwaka huu aw uchaguzi ni muhimu ccm Ikasema mapema Kuwa wote wenye kashfa za ufisadi wasichukue fomu zetu na wala hatutaki hata Hizo fedha zao za fomu. 5 hours ago · Like · [​IMG] 2   • [​IMG]David Amani Kinyongoh ‎Nape Nnauye>>>>>Bro Nape ni kijana,namshangaa kujifanya kama hajui kuwa kuna vigogo pale kwenye chama chao hata M/kigoda wao anawagwaya...sasa kama M/kigoda mwenyewe ni muoga juu ya hawa jamaa, Nape utasema weee!! Utaongea weee!! halafu wenyewe wanasema..."Haka ka-kijana kanajifanya kanachonga sana wakati kamekuja juzi tu hapa kwenye chama"...Na nawatabiria hili,kwa kushindwa kwenu kuwashunghulikia hawa jamaa mapema...watawashughulikia nyie na chama chenu kwenye uchaguzi wa chama 2012...subiri muone!!5 hours ago · Like


   • [​IMG]Peter Mghens ‎@nape kikao kilicho pita mmeweka mpira kwapani mbele ya mafisadi kwa kuogopa ugari kumwagwa. magamba ma2 yameshindikana na 2015 wanashika hatamu @nape bado utakua wa kijani?5 hours ago · Like


   • [​IMG]Diwani Mohd huko right...........! tatizo watanzania hatupendi kuridhika na kidogo wanapenda kuchukua mambo yakurekebisha kwa nguvu sana bila busara maendeleo ya haraka tena kwa pupa. tutajifanya tuna elimu nyingi kupita kiasi... "A little knowledge that acts is worth more than much
    knowledge that is idle" ndio wengi tupo hapa5 hours ago · Like


   • [​IMG]Ayoub Idd utawala bora unafuata taratibu ama sheria. Ndio maana ya kukomaa kisiasa. Lengo ni kukijenga chama sio kubomoa. Kwenye chama kunataratibu na sio kukurupuka tu. Chama kimesajiliwa sio chama bubu. Hivyo kina CCM inaongozwa kwa katiba na kinautamaduni wake. Hayo maneno ya kila mtu ni fisadi ni makosa kwa vile ukiambiwa uthibitishe sijui utaweza? Mimi ni mwana-CCM sio fisadi. Ni miongoni uliotujumuisha kama mafisadi.@ Charles5 hours ago · Like


   • [​IMG]Charles Natai ‎@Nape - napenda kukufahamisha kuwa mimi siipendi CCM ila nakukubali wewe kama mwanaharakati wa kweli ndani ya CCM ingawa naona kama m/kiti wako hakupi support ya kutosha na labda hakwambii ukweli kwani kilichotokea Dodoma kwenye kikao chenu ni aibu kwa chama na wewe mwenyewe kwani m/kiti kusimamisha agenda ambayo ilikuwa inaanza kujadiliwa ni dalili mbaya na inaonyesha kabisa kuna siri kubwa ambayo hata wewe mwenyewe huijui...wewe ni kiongozi mzuri katika chama kingine na sio CCM iliyooza na sasa inanuka...sisi wananchi tunakichukulia CCM kama ni chama cha mafisadi5 hours ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Stephen Minja Kazi bado ipo, hakuna mafanikio kamili katika suala la kuvuana magamba mpaka walengwa wote wavuliwe magamba....5 hours ago · Like   • [​IMG]Midladjy Maez ‎@Peter kila hatua inataka wakati wake kuna watu bado wanafikri uongozi wa nchi hii ni bidhaa inayouzwa...halafu mbinu za 2005 hazifui dafu siku hizi mathalan hazikufua dafu 2010 sembuse 2015! Hatimaye ukweli utadhihirika gamba litavuka bika kubandua nyama..! Tuwe na subira tu!5 hours ago · Like


   • [​IMG]Benard Oduor Watakuja,wataondoka na chama kitabaki palepale5 hours ago · Like


   • [​IMG]AdoMarley Rugera ni vema ukawa wazi na kukubali kushindwa,gamba halivuliki,hukumu inakuja 2015,halina shaka kbs!5 hours ago · Like


   • [​IMG]Rashid Sengwira ‎''Bila CCM madhubuti nchi itayumba''Alinena mwl.Nyerere.4 hours ago · Like


   • [​IMG]Faustine Kibanda Nape kama mtashindwa kuwaondoa ndani ya chama hao mliokuwa mkitangaza mikoani kama ni mafisadi jiandae wewe na wenzako ndo mtaondolewa ndani ya chama baada ya uchaguzi ujao. Kumbuka kilichompata Hamad Rashid ndani ya CUF. Mmeshindwa kujenga hoja ndani ya vikao vya maamuzi ndani ya chama ili waondolewe na mnajenga hoja kwenye facebook ili watanzania waamini mnawapenda zaidi kuliko hao mnaowaita mafisadi.4 hours ago · Like · [​IMG] 4


   • [​IMG]Ramadhani Mgaya Sawa lakini kinyume na hayo yako mengi ya kutafakari hususani pale kwele maswali ya wazi juu ya nani kafanya nini wapi4 hours ago via mobile · Like


   • [​IMG]Segere C. Mtundi Kama mwenyekiti wa chama alisutwa na akasutika kweli kweli unadhani kuna cha kujivua gamba? Ufisadi ni sehemu ya maisha ya CCM na Serikali yake! Ukiondoa CCM ndo utakuwa umeondoa Ufisadi, mbali na hapo ni kabobo tu Brother Nape!! "Hatudanganyiki".4 hours ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Simon Allex Monko Kwa hyo Nape hio secretariat ndio walikua mafisadi?4 hours ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Nape Nnauye Ikishindikana kukisafisha Chama NIKO TAYARI KUFUKUZWA KWENYE CHAMA KWA HILI4 hours ago · Like · [​IMG] 5


   • [​IMG]Deusdedit Charles nape mm huwa cjawah kukuelewa kabisa n nakufananishaga n bendera ambayo haina specific direction bali hufuata 2 upepo. yale majina ulokua ukiyataja yatakutokea puan4 hours ago · Like · [​IMG] 2


   • [​IMG]Ramadhani Mgaya Hakika hata kizazi chako kitakili kwa hilo ikishindika kwa wale waliopo leo.kazi njema4 hours ago via mobile · Like


   • [​IMG]AdoMarley Rugera ndo maana nabaki natabasamu,sasa huoni kuwa umeshashindwa? wapo wanaohucshwa na ufisadi,unawajua na ulitamka wazi majina,sasa watashughulikiwa lini? UMESHINDWA!
    Kubali hlo,ulaya takes a week m2 kujiudhuru,tn kwa kashfa,hapa hlo haliwezekani!
    pole yako na chama chako,subirini hukumu toka kwa watz,kwani mmeshndwa kujihukumu wenyewe4 hours ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Deo James time will tell change will come....4 hours ago · Like


   • [​IMG]Deo James If by the mere force of numbers a majority should deprive a minority of any clearly written constitutional right, it might, in a moral point of view, justify revolution4 hours ago · Like


   • [​IMG]Muhibu Makai Mohamed Do i swear,kazi imefanyika sawia. kuthibitisha hilo leo wanaanza wenyewe kumwagana katika vyama vyao,bado kimoja tuu na ninatarajia kikifika kipindi cha uchaguzi ndani ya chama chao maneno yangu yatathibitika na kuwa ushahidi.4 hours ago · Like


   • [​IMG]Dennis MpendaMungu Kiukweli Mh Nape unanifurahisha sana na misimamo yako ila tatizo linakuja pale unapoziwasilisha sehemu ambazo c husilka maana, siamini sana kama unaweza kusimama kwenye mkutano wa chama na kuelezea maneno haya kwamba upo tayari kufukuzwa kuliko kutokukiona chama kusafishwa, hasa hasa na kauli zako mara nyingi unazozitoa zinakinzana na viongozi wa halimashauri kuu, na hapo ndio napata shida kidogo kuelewa kuwa, wewe unazisemea fikra zako mwenyewe au unakisemea chama.4 hours ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]January Cletus mi nakushauri uondoke kwwenye hicho chama usisubiri kufukuzwa maana ni vigumu sana kukisafisha kwa sasa mpaka kitakapo kaa pembeni ili kifanye tafakuri kuu.4 hours ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Samwel Donald hahahaaaa! eti sekretariet imeonesha mfano. kwani lilikuwa ndo lengo lenu hilo? au ndo zile unaenda kukata mbuyu ukiona huwezi unaanza kukata migomba kwa kuwa milaini?3 hours ago · Like · [​IMG] 3


   • [​IMG]Steven Phabian Mpaka sasa hakuna mkweli ndani ya CCM,wamejikita kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kiasi cha kujikuta wanatoa kauli za kuwakatisha tamaa kwa wananchi! inauma sana,ni vile tu CCM ni ileile ya familia chache ndani ya Tanzania,sehemu kubwa ya Tanzania tumeeendelea kunyanyasika na kuonekana hatustaili kushiriki mafanikio ya nchi yetu!3 hours ago · Like


   • [​IMG]Hadji Bouwer Winner Kuna tofauti kubwa sana kati ya Ulaya ,America na Asia wenzetu walianza kutukanana na kupigana kabla hata ya africa kugundulika ndio maana saiv piliticaly,Economicaly wanaanza kua stable ukiangalia mabara kama America wana marais wangapi mpaka sasa wameshapita? Ukilinganisha na Nchi yetu yenye maraisi 4 bado tunaitaji nafasikidogo sana kua Angalau sasa Mlio kwenye madaraka Tuarakisgeni kwenye hayo maendeleo ki ukweli na sio Kisihasa3 hours ago · Like


   • [​IMG]Jamaly Ally Hussein kama mnalenga mfumo nitakuunga mkono lakini kama mnalenga mahasimu wenu wa kisiasa utafanya waungwana wakuache pekee yako! mafisadi waliotajwa ni 11 why wewe unaacha 9 na unashupalia watatu? tatizo nini? ni ufisadi au walioutenda? kwako kitu nini? kila fisadi atoswe au fisadi rafiki yako asiguswe na fisadi adui yako ashughulikiwe?!!!!! siasa zenu jamani! yetu macho!3 hours ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Geoffrey Ng'humba Komaa nao tu kaka, mwishowe watakuelewa!3 hours ago · Like


   • [​IMG]Charles Natai ‎@Jamaly - hapo umenena na kwa njia hiyo hadi mkuu wa nchi yumo kwenye list...3 hours ago · Like


   • [​IMG]Emmanuel Msigwa ila ni kawaida yenu tumewazoea but, angalieni huko tuendako!2 hours ago · Like


   • [​IMG]Jamaly Ally Hussein si ndio hapo Charles! ndio zile za mafarisayo! wamefumania watu wawili wakifanya zinaa mmoja wanamuachia mwingine wanampeleka kwa yesu apigwe mawe! why waibe kumi na moja! muachie 9 mng'ang'anie watatu! hahahahah!2 hours ago · Like


   • [​IMG]Pakanyau Creaty ChiChieM mlipoanza tuliwacheka sana na sera yenu ya kujivua magamba sisi twaja taratibu twafuata nyayo tumeanza Enchichiara na sasa kafu na wengine watafuata tu. tatizo huko kote wanaovuliwa magamba ni nyoka ukuti wale maswira, kobra, blakimamba na machatu wala hawajivui gamba je hiyo sera itafanikiwa kweli?2 hours ago · Like


   • [​IMG]Mh Ahmed Lukinga Hata Rais Jakaya Kikwete ambaytamu katika chama chenu wakatri fulani pasipo kuzingatia nae ni mwenyekimti wa chama? Inawezekana Kijana mwenzangu, lakini uklweliu ni kwamba kila anayeshika au aliyeshika hatamu katika chama chenu pasipo kuzingatia nafasi aliyonayo huwa na kundi lake linalomuongezera nguvu maradufu. Hilo la kuhusu kujivua gamba linaleta mkanganyiko kwa wafinyu wa siasa na hata wanaoijua vizuri ili watimize malengo yao ya kulazimu chama chenu kifanmye wanavyotaka. Siasa ni kama fasihi!2 hours ago · Like


   • [​IMG]Alex Muganyizi Katabaro Nape nakuaidi+mkimvua+gamba lote ntaipraise ccm. Nape siasa za uongo na kutumwa na wakubwa zinakupoteza. Wakubwa wako vigeuget subiri uoneabout an hour ago · Like · [​IMG] 1


   • [​IMG]Adam Makoba stev,jamal na alex safi ninachokiona NAPE anatumika mwisho anaweza akajikuta huo upandewalipo anabaki peke yake ataotea,atadhalilika na atapoteza nguvu ya kisiasa milele atabakia na makovu ambayo vizaz vyote vitashudia mafisadi wapo wengi sana CCM ni zaid ya wale 9,kwan baharin anayevuma ni papa kwa hiyo wale ni mapapa ila wapo wengi tuongeze juhudi ili tuwapunguze nani alikuwa anamjua Jailo,luhanjo kuwa nao wamo56 minutes ago ·   • [​IMG]Goodluck Mwangomango Hilo ni kweli kabisa...watanunua wangapi maana umma mzima wanajua madudu yao!55 minutes ago · Like · [​IMG] 1


   
 2. Imany John

  Imany John Verified User

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  By

  littleX
  06:15 25th November
  2011

  Kutokana na maamuzi ya
  mkutano uliomalizika jana
  mjini dodoma,na kutokana na
  Utetezi wa Lowasa,na kuhoji
  uhalali wa wawili hawa
  kuzunguka nchi nzima wakimtukana kwa kutumia
  pesa ya chama icho,je Nape
  na Chiligati wanalipi
  watakalokwepa? Ngoja tuwe wazi,Nape na
  Chiligati hawana
  walilobakiza katika ccm(kwa
  mtazamo wangu) na iwekwe
  kwenye record humu jamvini
  kuwa cc itawaondoa kwa tuhuma izo haiwezi
  wabakiza. Nawasilisha.
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Sitashangaa siku ukimuuliza kuhusu hii kauli akaikana
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Next time bakiza huko huko FB
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Usishangae akasema kuna mtu alikuwa anatumia account yake ya FB.
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Zi delete hizo komenti zingine ibaki ya Nape it will make sense.
   
 7. kawakama

  kawakama JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  mnafiki tu huyo mapepe
   
 8. manka mpalestina

  manka mpalestina Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ndiye comredi kipepeo nape
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Simuamini Nape mpaka aongee na "physical media" and gets recorded. Tusisahau ana tabia ya kukataa akaunti zake...
   
 10. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  ........Nape! kwa nini usubiri kufukuzwa badala ya kuondoka kwa heshima tu, au unataka ya Hamad Rashid, anyway wewe CCJ ipo ni ya kufufua tu.
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwani hadi afukuzwe? si awajibike mwenyewe tuu!!
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Eti mtu huyu mapepe ndiye wakulinganisha na Mnyika.Shame!!!
   
 13. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.....Nape NNAUYE tena!!!!!!!
   
 14. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kijana ana uchungu siku hizi. Nape anayetaka uonekane huna akili ni Mwenyekiti wa chama chako na baadhi ya viongozi. Hasira yao inatokana na kipindi kile wakati unataka jimbo la ubungo uliposema hufagilii mafisadi iliwauma sana wakasema watakukomesha. Sasa nado wanaendelea.
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  juzi aliingia humu ngoja tusubili leo atasema nini nina hamu sana kuona atavyo jibu kwa hili ama naye atakwenda kwa HR
   
 16. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mkuu kuingia facebook na kucopy yaliyomo na kuyaleta hapa ni kuingilia privacy ya mtu binafsi
  na hata habari yenyewe haina mashiko
  utanibishia but hairuhusiwi imagine wangecopy zako na kuziweka hapa unegijisikiaje?
   
 17. k

  kipinduka Senior Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du kijana upo vzr,ila patumike kanun utaratibu na sheria ndan ya chama ila kuweka sawa,mi mpaka tathmin nilinayo vyama vya upinzan vishapotea,walitalajia kuwa na nguvu kwa vijana wa vyuo ila sasa hv 2shawajua ni waongo,kama slaa kashindwa kujenga kwao karatu itakuwa tahfa!
   
 18. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nape nae mbwembwe tupu,ngoja yakukute ya wenzio
   
 19. Biznocrats

  Biznocrats JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape ni politician. Statement yake ni strategic one. Itamsaidia kupata nguvu na kundi ndani ya CCM. lisilowataka wale wanaoonekana mafisadi. Itamuweka katika hali ya kuwa political asset ya CCM. Lakini juu ya yote Nape atakuwa katika hali ngumu na mashaka makubwa kama atabaki CCM wakati watu aliowatuhumu kwa ufisadi wakifanikiwa kuchukua uongozi wa Juu ndani ya CCM na hivyo kuwa na nafasi ya kupata ticket ya kuwania urais 2015. Hivyo basi statement yake inaonyesha wazi kwamba ikifikia huko basi hatakuwa tayari kuwemo ndani ya chama kinachoongozwa na watu ambao ameshawatuhumu kwa ufisadi. Na hii position si ya Nape peke yake. Kuna viongozi wengi ndani ya CCM ambao wako kwenye situation kama hiyo. Ndo maana mpasuko mkubwa ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu hauepukiki.
   
 20. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nape angalau wewe ndio pekee tunaekutegemea miongoni mwa magamba kuendesha mapambano ya ndani ya chama dhidi ya ufisadi na mafisadi,komaa nao hadi kieleweke,unawanyima usingizi lowassa an genge lake!
   
Loading...