Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,227
- 128,993
Wanabodi,
Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo.
Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi na kule nyuma nimeshawahi kutoa mawazo yangu kuhusu kipindi hiki tangu enzi zile. na nikatoa mawazo jinsi baadhi ya watangazaji wao walivyo wapuuzi puuzi na kuongea lugha zisizo na staha!.
Kusema ukweli leo nimesikiliza mahojiano ya Zitto kwenye kipindi cha Jahazi nakiri wazi sasa Kibonde has grown up into a mature young guy. Ule ujinga ujinga wake na ****** ****** ameacha kabisa kwa leo!. Big Up kwa Clouds FM for that!.
Kwa wengine ambao hamkubahatika kusikiliza kipindi cha leo, nawasihi kesho zikilizeni mahojiano na January Makamba, mtakubaliana nami kuwa kwa hili Clouds FM wastahili pongezi!.
Angalizo: Najua pia humu jukwaani tuna lots of hate preachers wa kumwaga, kwao wao hakuna jema, kwao wao kila jambo kwao ni baya na kuvurumisha hate preaching pekee. I beg them, wabadilike!. Kwenye kustahili sifa watoe na kwenye kustahili kubonda ndio wabonde, isiwe basi ni kubonda tuu kila kukicha as if hakuna hata jema moja!.
Big Up sana kwa Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba, kwa kulea vipaji.
P