Zikomo Songea
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 670
- 582
Hakuna kuoa mara mbili mku. Ukishamuweka ndani ndo utakuwa umeshamuoa hivyo.Itabidi nimtafute moja nimweke ndani huku namsoma tabia,nikiona anafahaa naoa fasta
Hakuna kuoa mara mbili mku. Ukishamuweka ndani ndo utakuwa umeshamuoa hivyo.Itabidi nimtafute moja nimweke ndani huku namsoma tabia,nikiona anafahaa naoa fasta
Huu usithubutu.Itabidi nimtafute moja nimweke ndani huku namsoma tabia,nikiona anafahaa naoa fasta
Mkuu wewe akili yako ipo ktk kula na papuchi tu.Mara nyingi sana,kwa watu ambao tuliwahi kuchukia wanawake,ila hatukuwahi kuwaoa,kutokana na hiki au kile, ila inafika kipindi unaona bora kumuomba mungu akupe mke bora,
Unatoka kwenye mihangaiko yuko,unafika home unawasha jiko ili upike ule,sasa najiuliza ya nini shida zote hizi,
Mda fulani unabidi uachane na ubachela,
Wenye wako kwenye ndoa,eti huko ni raha na mustarehe,maana nasikia mda wowote unapiga papuchi
Pamoja mkuu karibu tuMkuu nimekuelewa vzr sana,asante sana ,uko sahihi asilimia mia.yaani sijui nije hata pm unisaidie kumtafuta aisee,nimependa comment yako.heshima kwako kaka
Unaijua gharama za kuhudumu mke?Tena bure unajilia.....
Si kwa cash Kama changu sio!? Hapo sawa lakini mke Ana gharama sanaMkuu ,jamaa anamanisha kuwa huwezi kumpe mke ela wakati unataka kula papuchi ya mke wako
Huu usithubutu.
Hakuna atakayeonyesha tabia yake ilhali anajua unamchunguza tabia mkuu.
Ukimuweka ndani atajua tu na ataonyesha tabia zote ambazo wenye sifa ya kuolewa wanazo.kwa hivyo atajua kabisa anasomwa tabia na hapo atazifufua tabia usishangae akakulamba mpaka mafua yako nawewe ukasema yeees huyu ndo mke.
Wanawake wanajua kama wanaume tunatafuta tabia na hapo ndo wanatumia udhaifu wetu ulee wa sisi kutaka kuzijua tabia kwa mwenye tabia na hapo hao wenye tabia ndo huanza kuigizaaaaa sasaa.
Unatakiwa ufanye ziara ya kushtukiza tuu mkuu,usiicbunguze tabia ya mwanamke moja kwa moja kutoka kwa mwanamke mwenyewe atakuigizia na mwishowe ukaingia mkenge.
Kuoa ni jambo linahitaji busara kuliko tunavyofikiria tena ilikuwa kuchukua hekima za wazee kabisa.
Usichunguze tabia yake kwa kumuweka ndani kwako,hilo ni kosa kubwa.
"USIMUWEKE NDANI KISHA NDO UCHUNGUZE TABIA,BALI CHUNGUZA TABIA KISHA NDO UMUWEKE NDANI(ndoa)"
Mwanamke ni kama bomu,utafiti kwanza ndo unakaa nae,sio unakaa nae then ndo wafanya utafiti hapanaa.
Dangote hana mke na maroli yake 26 yamepita hapa yamebeba shehena ya cement wewe ni nani
Yees kuonyesha hata yeye anajua umuhimu wa ndoa.Dangote ana watoto ,tena kuna binti yake mwanzoni mwa mwaka huu aliolewa ,tena harusi moja matata,wengi waliohudhuria ni wenye pesa zao
Mkuu #SafuhaYees kuonyesha hata yeye anajua umuhimu wa ndoa.
Ndoa bado ni muhimu tu.
Huna lolote meku unaogopa kuchapiwa??Kuna wkt nakuwa na mawazo km yako,
Ila sasa kuoa sio jambo dogo,
Wanawake wakorofi wazee,