Kwa hii hali bora kuoa

Kwa hii hali bora kuoa

J putin

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
1,263
Reaction score
1,209
Mara nyingi sana,kwa watu ambao tuliwahi kuchukia wanawake,ila hatukuwahi kuwaoa,kutokana na hiki au kile, ila inafika kipindi unaona bora kumuomba mungu akupe mke bora,

Unatoka kwenye mihangaiko yuko,unafika home unawasha jiko ili upike ule,sasa najiuliza ya nini shida zote hizi,

Mda fulani unabidi uachane na ubachela,

Wenye wako kwenye ndoa,eti huko ni raha na mustarehe,maana nasikia mda wowote unapiga papuchi
 
Mwanaume atamuacha baba na mama yake naye ataambatana na mke wake fullstop
 
Ukijiona tayari unaanza kuwaza kuoa oa basi jua wakati wako umeshaingia mkuu,wasi wasi ndo akili mkuu,hapo taratibu unaanza kuona umuhimu wa mwenzio japo kuoa ni zaidi ya kupikiwa na kufuliwa lakini haya nayo yana umuhimu mkubwa ndiyo maaana watu wanaishi kwa kuwafulia wenza nguo(madobi)na wengine wakiishi kwa kuwapikia wenzao(mama ntilie)lakini mmoja tu kaamua kuishi kumfanyia hayo yote mwennziwe(mke)

Hivyo mkuu kuoa ni jambo jema sana heshima yako inaongezeka japo lengo sio kupata heshima,lakini pia na akili inazidi kupanuka kuwajua zaidi wanawake ukiwa bado kijana,sio lijitu lizee miaka 35 ukiliuliza mwanamke akisema sitaki anamaanisha nini linakujibu tu kizobe zobe"ndo hataki huyoo" ingia mapema ikiwa utakosea utajua namna ya kusolve kwa kuwa bado kijana na ikiwa hujakosea basi utainjoi ndoa tokea ujana wako.

Lakini pia ili usikosee epuka kutafta mke sehemu ambazo sio rafiki na ikiwezekana mtume mama mzazi akufanyie kazi ya kukutaftia mke(sio akuchagulie hapana)kwa sababu wanawake wanajuana sana siri zao hivyo ukimuambia mama unataka mke alotulia mzuri akupende na ana tabia njema lazima atajua tu kwamba mtaa fulani na nyumba fulani yupo aliyetulia na hawezi kukosea kukuchagulia mwanaee,then akimpata wewe unamuambia maza tulia kwanza ukamuone pasi na yeye kujua,then ukimridhia unaanza mingo eidha uzoeanne nae au utume mtu moja kwa moja akapose.

Hakika ndoa ni tamu sana mfano wa muwa tu ni mtamu japo kuwa ukiutafuna yale maganda yanaweza kukukata kidogo mdomoni lakini utamu wa muwa huyashinda maumivu,na ndoa iko hivyo ukipata mtu sahihi kaka utaona ndoa tamu japo kuwa kutakuwa na kutoelewana katika baadhi ya mambo lakini utamu wake uko pale pale.

Kuna baadbi ya watu hawataki kuoa eti wanasema hawataki kukkerana na wanawake ilhali hapo alipo anakerana na hawara yake,sasa akimbia nini afanya nini?

Eti hataki kuumizwa ilhali kila siku hawara yake anagombana nae na kumtesa ndo nini?

Bora kutumia mda utafte kwa makini ukioa unatulia zako unapanga maisha mengine...

Napenda kuandika kiurefu mada kama hizi kwa sababu nimekuwa barozi mzuri juu ya suala hili.
 
Mkuu nimekuelewa vzr sana,asante sana ,uko sahihi asilimia mia.yaani sijui nije hata pm unisaidie kumtafuta aisee,nimependa comment yako.heshima kwako kaka

Inspired...
 
Unajua ubachelor si kwa muda mrefu. Mwenzako nimefikia wkt kama wako. I cant do it anymore.. nsaidi lazima .

But kuwa makin. Pretenders ni wengi
Mara nyingi sana,kwa watu ambao tuliwahi kuchukia wanawake,ila hatukuwahi kuwaoa,kutokana na hiki au kile, ila inafika kipindi unaona bora kumuomba mungu akupe mke bora,

Unatoka kwenye mihangaiko yuko,unafika home unawasha jiko ili upike ule,sasa najiuliza ya nini shida zote hizi,

Mda fulani unabidi uachane na ubachela,

Wenye wako kwenye ndoa,eti huko ni raha na mustarehe,maana nasikia mda wowote unapiga papuchi
 
Natamani sana pia mkuu,but naomba MUNGU anisaidie kupata mtu sahihi maana hili jambo linanipa headache sana
 
Mm mwenyewe nawaza hivyo coz demu wangu wa mwanzo mkali sana yuko kwenye ndoa, upweke ni kitu kibaya sana.Nikirudi tz bora nijitwike tu ata yyte mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom