Kwanza shikamo, mi sijambo.
Kutoka moyoni,nataka kuwa na familia (jiko) yaani to be marriage.
Ingawa zipo changamoto kwenye ndoa ninazoona na kusikia na hizo sio kikwanzo kwani lazima nifanye hivyo kwa umri nilio nao sasa.
Haijarishi umeoa/kuolewa au hapana ninaimani una wazo lolote la kuniambia il mradi tu wazo lako liwe na mchango katika kumpata na kukuletea shemejio au wifi yako wa ukweli.
Usinitose dada/kaka yangu nitaheshimu na kufanyia kazi mawazo yako.
Wale wanaotukana tafadhari basi usiandike chochote.