Mkuu ni kujipanga namna gani utaishi mara baada ya kuowa kumbuka kuwa ni lazima utafute mtu mnayeendana usijetafuta ile maneno ya mjini demu mkali kumbe anakuja kimaslahi
Kuna kile kipindi cha tv ya NTV siku ya harusi jamaa amevaa poa akamwambia dj mwaga ngoma,wimbo unaitwa demu wangu amemloki DJ
:smile-big:
Msichana nae akachagua wimbo unaimbwa wewe ni useless kama kijembe kwa mumewe
Ushauri ndo unatakiwa hivo, lazma umjue mtu kwanza teh....haaaa..haya maswali haya...
Ushauri ndo unatakiwa hivo, lazma umjue mtu kwanza teh....
umri wa mke wake?umeulizwa ushawahi kufanya mapenzi???
kipato chako kipoje???
anamiliki nini na hati zake unazo nymba??gari??una biashara?
mwanamke unayemuoa ana bikira??
umri wa mke wake?
Naona hataki dinning party nikisema kitchen haitamfaa tehyaa umri muhimu
nashangaa maswali hajibu huo ushauri tutampeje
kinyago achonge mwenywe alafu ukiogope
Hahahaaaaa mtoa mada unatafuta mchumba na ushauri pamoja ama ushauri tu?
namshangaa huyu wenzie zidi 30 hatujaoa daaah kumbe tumechelewa sana.
watazania kwa kufuatilia vijikosa hatujambo. TehNimemuuliza mtu mwingine..
we mvumilvu mi baridi inanitesa si unajua asubuh kunavyotesa
Tafta pesa sana na umpendaye,...haya ya muhimu sana
Ushauri ndo unatakiwa hivo, lazma umjue mtu kwanza teh....
(mh.... Sijui! Hicho kwangu si kigezo mku)umeulizwa ushawahi kufanya mapenzi??? (mh....)!
kipato chako kipoje??? (zaid ya laki tano kwa mwez)
anamiliki nini na hati zake unazo nymba??gari??una biashara? (hivyo vyote sina labda kazi ya kuajiriwa)
mwanamke unayemuoa ana bikira??
yaa umri muhimu
nashangaa maswali hajibu huo ushauri tutampeje
kinyago achonge mwenywe alafu ukiogope
Naona hataki dinning party nikisema kitchen haitamfaa teh
alvosema kwa umri huo lazma aoe nikajua kitu cha 40'S