- Thread starter
- #41
JF imevamiwa.....kwamba wewe unataka kuwa marriage......>..>>loh
shule za kata babu!
we umesomea ulaya nin?
JF imevamiwa.....kwamba wewe unataka kuwa marriage......>..>>loh
ushaur, halafu kupitia ushaur huo nitampata mchumba mwema.
Ni kweli changamoto zipo nyingi sana ikiwemo kuvumiliana sababu ukumbuke hakuna binadamu aliyekamilika.
Na ili upate mengi ya ziada na yenye manufaa kuhusiana na ndoa ingekuwa bora zaidi uwatafute au uwafuate watu wazima/wazee wenye busara zao ulio karibu nao wakupe nasaha za ndoa kabla ya kujiingiza mzima mzima
Unataka kumpatia humu au huko kwenu?
Ushauri ndo unatakiwa hivo, lazma umjue mtu kwanza teh....
MWL Evelyn Salt SHIKAMOOOO.
aiseee
!Kutoka moyoni,nataka kuwa na familia (jiko) yaani to be marriage.!
MWL Evelyn Salt SHIKAMOOOO.
aiseee
!Kutoka moyoni,nataka kuwa na familia (jiko) yaani to be marriage.!
mchumba nitampatia popote. Kwako/humu nataka ushaur tu
MWL Evelyn Salt SHIKAMOOOO.
aiseee
!Kutoka moyoni,nataka kuwa na familia (jiko) yaani to be marriage.!
nataka kuzaa watoto wenye hakil timamu sio mpaka 40's mitoto itakuwa mijinga bana
nataka kuzaa watoto wenye hakil timamu sio mpaka 40's mitoto itakuwa mijinga bana
si ni wewe au umenikana kisa ulinifelisha eti madam?
Unajua nini unapo amua kuingia kwenye jambo jipya ni lazima ujiandae maana lazima utahisi kunachangamoto.Ushauri wangu ni kua mtafute mtu unaye mpenda halafu mshawishi awe na upendo kwako maana najua mwanzo ataonesha upendo kweli ila baadae atabadilika.Pambana na mabadiliko yale si kwa matusi na dhihaka bali kwa kuongeza upendo kwake.Ifanye akiri yako iyasawili na kuyapambanua matamanio na mapenzi ya moyo wako,upendo na furaha yako ipo kwenye moyo na kazi bora za ubongo wako.