SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Mmmh hebu ngoja kwanza nipekenyue ushiriki wako hapa MMU nione kama kweli wastahiki kuaga au tukuache tu uende zako...
nenda tu ukila ban ndo utajua mmu nonu..Ninayo masikitiko makubwa kuwaambia rasmi kuwa na hama jukwaa hili nakuhamia jukwaa la la siasa na jukwaa la katiba mpya maana naona kunamatatizo katika nchi yetu.nashukuru sana kwa upendo wenu na kunilea kama mtoto wenu.kweli ninawapenda lakini nikiangalia matatizo ya kisiasa ni mengi ndio maana nahama rasmi jukwaa hili ili nikalete mabadiliko katika nchi hii.pia nawaalika wana MMU wanaoshinda hukuhuku tuhamie jukwaa la siasa tushirikiane kwa pamoja kutatua matatizo ya nchi yetu.asanteni.
teh teh muwache aende zake anataka kujua jinsi ya kuanzisha uzi..Hadi saa 8:13 kwa saa za EAC huu hapa chini ndio mchango wako wa jumla kwa JF, kwa takwimu hizi ni bora ungesepa kimya kimya tu:
Habari na Hoja mchanganyiko:12
Mahusiano, mapenzi, urafiki:8
Jukwaa la Elimu (Education Forum):1
Complaints, Congrats, Advice:1
Tech, Gadgets & Science Forum:1
Hadi saa 8:13 kwa saa za EAC huu hapa chini ndio mchango wako wa jumla kwa JF, kwa takwimu hizi ni bora ungesepa kimya kimya tu:
Habari na Hoja mchanganyiko:12
Mahusiano, mapenzi, urafiki:8
Jukwaa la Elimu (Education Forum):1
Complaints, Congrats, Advice:1
Tech, Gadgets & Science Forum:1
Hadi saa 8:13 kwa saa za EAC huu hapa chini ndio mchango wako wa jumla kwa JF, kwa takwimu hizi ni bora ungesepa kimya kimya tu:
Habari na Hoja mchanganyiko:12
Mahusiano, mapenzi, urafiki:8
Jukwaa la Elimu (Education Forum):1
Complaints, Congrats, Advice:1
Tech, Gadgets & Science Forum:1
nilicho kipata huku ni kikubwa sana kushinda ripoti hii unayo nipa. niliomba ushauri kwenu kupitia thread ya SIJUI LINI NITAPATA MKE MWEMA. kweli nikashauriwa na sasa nimesha mpata mwenza mwenye tabia njema ambaye tutafunga ndoa miaka ljayo.kwa sababu hiyo nimeona ni vibaya kuondoka kimya kimya bila kuaga.
Mmmh hebu ngoja kwanza nipekenyue ushiriki wako hapa MMU nione kama kweli wastahiki kuaga au tukuache tu uende zako...
We nenda tu mkuu kimya kimya...
Ukifika siasani tangaza nia ya kugombea Ubunge au Udiwani bila shaka utapata maana unaonekana una kismati na JF...
tangia nimejiunga JF jukwaa langu lilikua hilihili muda mwingi nilikuwa na shinda huku nimeelimika lakini sasa matatizo ya nchi yetu ni mengi.ndio maana nawaaga huku nikiwa na maumivu na majonzi makubwa moyoni mwangu.
asante sana mkuu kama ikiwezekana naomba unipe kampani tuondoke pamoja tushirikiane kutatua matatizo ya nchi yetu maana kwakweli sio vizuri kushinda hukuhuku wakati nchi yetu ikihangaika na migogoro mikubwa ya kisiasa na kiuchumi.
nenda tena nenda ... loh sijui kama hunafaida. mkuuu nendaaaaaaaaa. tena kimbia
Ninayo masikitiko makubwa kuwaambia rasmi kuwa na hama jukwaa hili nakuhamia jukwaa la la siasa na jukwaa la katiba mpya maana naona kunamatatizo katika nchi yetu.nashukuru sana kwa upendo wenu na kunilea kama mtoto wenu.kweli ninawapenda lakini nikiangalia matatizo ya kisiasa ni mengi ndio maana nahama rasmi jukwaa hili ili nikalete mabadiliko katika nchi hii.pia nawaalika wana MMU wanaoshinda hukuhuku tuhamie jukwaa la siasa tushirikiane kwa pamoja kutatua matatizo ya nchi yetu.asanteni.
MMU ni pasua kichwa na rusha roho juu.
Karibu siasani, huko mambo shwari hakuna pasua kichwa wala rusha roho.
Subiri kidogo, kule kuna bayana tu hakuna mapenzi, unaweza kuiaga JF moja kwa moja ukileta za kuleta, tena nakutahadharisha, kule uwe makini la sivyo utaiaga JF kabisa. Maana kule kuna misukule kibao, kalagabaho.