Hasira za kutukanwa?pole follow your heartMkuu kina thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Ni muda utakaotoa majibu sahihi. Tumpe muda.Mkuu Mwita mimi bado ni Thomaso sijaamini, ngoja nipekue na kesho nipate jibu sahihi!!!!!!!!!!!!!!
Pole kwa kutukanwa! Ni wewe kweli? Mi bado siamini walah tena!Mkuu kina thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Hata mimi siamini...Yote kwa yote,tunakupa muda ili tuone michango yako kama imebadilika, halafu hebu weka wazi uovu wa Nape zaidi tumjue huyu jamaa na mbinu zake kama kweli ineokoka na jinamizi la Magamba.
Wewe umeugundua lini huo umuhimu wa Slaa?Mkuu kuna thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo, nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti. Nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Mkuu kina thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Namsubiri Rejao nae avue gamba.hahahaha never trust this information ila kama niza kweli kijana utakuwa umepiga hatua kubwa ya kuwakomboa watanzania wenzako katika mfumo kandamizi.
Muraaa!!!!kwa kweli hakuna siku najisikia raha km leo kuona hatimae leo umeanza kuona ukweli nakujivua gamba.Mimi ni mkurya naelewa kabisa kuwa unachoongea kimetoka rohoni,hatuna asili ya unafiki.Mura karibu sana kenye mapambano ya kuwakomboa Watanzania wanyonge.Mkuu kuna thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo, nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti. Nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Mkuu kuna thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo, nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti. Nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Mkuu kuna thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo, nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti. Nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!