IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,821
... Halafu ile media iliyokuwa inampa free promo imemuacha solemba...Nakumbuka siku alipokuwa tegeta na kumtukana valuer mwenzangu kuwa ni mwenda wazimu- sasa kumbe yeye ni fafafaaaaa bravo Yule uliyemwambia ni kichaa amesotea hio shahada yake pale ARU miaka minne. POOR BASHITE.