Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

Nakumbuka siku alipokuwa tegeta na kumtukana valuer mwenzangu kuwa ni mwenda wazimu- sasa kumbe yeye ni fafafaaaaa bravo Yule uliyemwambia ni kichaa amesotea hio shahada yake pale ARU miaka minne. POOR BASHITE.
... Halafu ile media iliyokuwa inampa free promo imemuacha solemba...
 
Wataongea sana lakini kazi anayoifanya si bure, kwa maneno yenu mnampandisha bila kujua

Mungu akutangulie kaka yangu Makonda, kazi yako ninaikubali sana
 
Vita ya madawa ya kulevya haiondoi wala kutoa kinga kwa makosa ya kufoji cheti. Tutapambana na madawa ya kulevya na tutapambana pia na vyeti feki.

Bashite onesha vyeti
KWANZA HIYO VITA INAPIGANWA NA WENYE AKILI ZAO, CHINI YA UONGOZI WA GENIUS COMMANDER Dr. SIANGA, ROGERS.... BASHITE HAIMUHUSU KABSAAAAAAAAAAA..... FACT, PURE FACT.
 
Kwa kweli amedhalilisha sana watu, na mbaya zaidi amemkufuru Mungu. Muda sio mrefu Mungu wa kweli atamshusha tu. Yeye baada ya kujibu tuhuma zinazomkabili, anakimbia huku a kule na kudai anasakamwa kwasababu "anapambana na madawa ya kulevya." Nachelea kusema kwamba tuhuma zinazomkabili zingekuwa sio kweli angeshajitokeza asubuhi na mapema na vyeti vyake halali ili kuonyesha waandishi wa habari, na mjadala ungeisha, basi! Na yule Boss wake "msema kweli mpenzi wa Mungu" bado ame kaa kimnya tu, baada ya kuchukua hatua...nashangaaa ni upenzi wa Mungu gani huu unaleta upendeleo dhahiri kabisaaa!!
WELL SAID. BRAVO!!!
 
Wakuu mpumzisheni mtoto wa mwanaume/mwanamke mwenzenu. Umefika wakati ninamhurumia jmn.
Hebu tujadili mambo mengine wakuu
Alivyokuwa anakamata kamata ovyo baba zetu alizani raha

Hahaa kamwaga mboga wenzake wamemwaga ugali
Na bado
 
Hili suala la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam limefikia mahali pabaya!

Wapo watu wanaoamini kuwa limepoa na litapita, lakini ni kwamba kwa namna ambavyo ukweli unavyozidi kutafutwa ni dhahiri kabisa kuwa mambo makubwa zaidi yatabainika na kuwekwa hadharani!

Naamini mda mfupi ujao lazima atajiuzulu au utatenguliwa na bila shaka sheria itachukua mkondo wake!
*The Final Battle For Total Destruction*
 
- hahahahahahaha huna hoja kama ni akili ninazo nyingi sana ndio maana mpaka umekuja kujibu tena kwa majina ya bandia maana unaniogopa hahahahaha tuliza mshono hapa sio uwanja wa mburulazzz kama wewe hahahahah

le Mutuz
Dah et tuliza mshono ..maneno sio yakike haya ??? But ok any way ni lugha tu haina jinsia ingawa maneno flani flani yanatumiwa na K. Maana hata kuuliza nako ni k.
 
Mtoa mada ebu tafuta jambo la.maana zaidi la kufanya, acha kupoteza mda wako.Kwani hayo yakitokea unadhani wewe ndiyo utaichukua hiyo nafasi?
 
- Akili mufilisi mimi nimeajiriwa na Social MEdia so ilipolilia vyeti nilitoa, Makonda ameajiriwa na RAis akililia vyeti atampa sio wewe huhusiki hata kidogo ok hahahahahahahha

le Mutuz
Umeajiriwa na Social Media....?
Akili zimeanza kupwaya..
Hebu jipange upya. Ulikuwa unamaanisha nini tena vile??
 
IMG_1488834541.260885.jpg
 
Mungu azidi kumlaani, alizidi mipaka mpaka kujiita mungu wa darisalamu sasa laana ya mungu inamshukia na bado, huyu jamaa aliona sofa kudhalilisha wazazi wetu alimsweka Ndani Mzee wangu 48hrs bila kosa, niliumia sana, sasa mungu wa kweli anamnyoosha hata kama hatojiuzulu or kutotumbuliwa still hata kuwa na relief ya kushi

[HASHTAG]#wacha[/HASHTAG] kulia weka vyeti,
 
Wataongea sana lakini kazi anayoifanya si bure, kwa maneno yenu mnampandisha bila kujua

Mungu akutangulie kaka yangu Makonda, kazi yako ninaikubali sana
HUYU KAIBUKIA WAPI JAMANI???? 1.MUNGU YUPI AMTANGULIE WAKATI KASEMA YEYE NDIYE MUNGU???
2.VITA HIYO HAIMUHUSU ARIFU. INA WENYEWE WENYE AKILI ZILIZOMWAGIKA (AKILI KUBWA).
3.KAKOJOE ULALE ILI UWAHI SHULE KESHO.
 
Mi ninacho shauri mkuu wa msafara ampangie kazi nyingine kulingana na elimu yake kama inavyotokea kwa watu wengine,
Taifa letu linapata adha kubwa sana kwenye masuala ya utawala hasa kwa kupeana vyeo bila kutatmini elemu kwanza, hakika wako watanzania wengi sa.na wenye uwezo wa kufanya jambo bila hata elimu hata ya darasa la kwanza ,wanajua kuhesabu na kuandika,lakini tunaishia kupena vyeo kwa umaarufu na kujuana tunacha wenye elimu na taaluma, tuna wanafunzi kibao tunawasimesha kwenye vyuo vya uongozi je wanakenda wapi, kwanini ukuu wa mkoa na wilaya pamoja na balozi ufanywe kama promotion?tufike mahali tujipime hasa kwa washauri wa mkuu wa msafara ,nchi hii ni yetu sote ,tufike mahala kuwe na kikomo, hakuna anaye pinga juhudi za uchapakazi hata kama hana elimu ila ili kuepuka haya tuweke uongozi wenye records safi na wawajibikiaji na sio kiongozi mwenye kutafuta sifa ,kiongozi ambaye lake binafsi anashindwa kulijibu nakuona anaonewa sio sahihi, tuwe na uongozi wenye majibu pande zote.
 
Acha siasa mkuu wala unga wanavyoteseka vile ndo tuseme hvyo tena? Hapana suala kama ni vtet feki ijulikane hvyo lkn suala la unga si la kisiasa maana madhara yake yanaonekana kwa madogo zetu
Hivi mkuu nikuulize swali? Kati ya jambazi na muuza UNGA nani ni hatari ktk jamii?UNGA atavuta anayependa...hashikiwi MTU BUNDUKI avute UNGA kwa nguvu....wengi wanavuta kwa tamaa ZAO za kuongea NGUVU za KIUME..na starehe ZAO za kupiga.... Ila jambazi ndy MTU hatari sana .ambaye anaweza kukulazimisha kufanya USICHOTARAJIA..EITHER skuumize..OR akuuwe LAKINI PESA AU MALI utatoa kwa LAZIMA TU..... kuna mambo mengi ya maendeleo ya inchi hii kama nguvu walizozitumia kupayuka mambo ya madawa ya KULEVYA... Wangezitumia KWENYE maendeleo mengine....inchi ingekuwa mbali sana...binafsi sidhani km muuza madawa ya KULEVYA anaathari kubwa kuliko mambo ya MAENDELEO..mambo hayo yangeachiwa watu wenye MAMLAKA YA KUPAMBANA NAYO....na sio KUPAYUKA PAYUKA TU..... Zipo inchi NYINGI TU... zinauzwa madawa... Zaidi ya Tanzania lakini zinapambana na MADAWA na huku MAENDELEO ya jamii ya nakwenda....KUPAMBANA na MADAWA pekee hapatupeleki POPOTE kama ikiwa mambo ya msingi tunayaacha tunashupalia MADAWA kana kwamba ndy sera za chama....
 
Back
Top Bottom