Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

brooo una majini hata mimi nlikuwa nayo nkisema mtu anakufa kwl anakufa baada ya mwezi
 
Nikwambie ukweli kuna tatizo hapo,kuna mtu anaweza kukusaidia anaitwa pastor katunzi anapatikana eagt city centre mtoni mtongani,kunA kanisa liko karibu na barabara ukitaka hata namba yake nitakupa au unaweza kwenda mtoni mtongani njia ya mbagala halaf kuna sehem juu inapita reli ukikaribia mtoni mto gani baada tu ya reli kuna kanisa la eagt city centre pastor katunzi hapo utapata msaada nakueleza ukweli kabisa uko na tatizo,huyu pastor atakusaidia believe me or not.
Kwa nini iwe ni huyo pastor katunzi tuu? hiyo ni promo! why not others I.e gwajima, pengo etc...
 
Ndugu uganga unakunyemelea anza kutafta mizimu ya kwenu
Mikoba hiyo
 
Kwa hiyo mkuu hata huu Uzi ulivyoutoa ulishajua michango yetu ..yaani watachangia watu kadhaa na maoni yetu..ulisema hupendi kuajiriwa lakini kwenye maelezo yako imeonekana uko na wafanyakazi wenzio.
Siipendi hali ya kuajiliwa, namaanisha kwamba naichukia hali hiyo japo nimeajiliwa ndio.
 
Yeeeees nimeona umefanana sifa nyingi namm nikahisi tu umezaliwa tarehe hzo, Humo ndo wanatoka watu wenye vitu tofauti na wengine mm nipo 10 June..
Sawa kabisa mkuu karibu.
 
Yeeeees nimeona umefanana sifa nyingi namm nikahisi tu umezaliwa tarehe hzo, Humo ndo wanatoka watu wenye vitu tofauti na wengine mm nipo 10 June..
Hongera. Naona nawe ni genius. Umejua tar yake ya kuzaliwa. Undeni chama
 
Haya hebu tuambie shambulio la Tundu Lisu hukuliona hapo kabla bila shaka hata waliofanya shambulio unawafahamu et au ukiamua kuwafahamu si inawezekana? Heb Fanya mchakato
Sijawahi kumuona live TL zaidi ya kwenye Tv.Ningekua nimemuona live ingesaidia kujua chochote kuhusu tukio lile.
 
ulitakiwa kutafuta sifa genius hlf uoanishe nazako
 
149677.jpg


Hivi ndivyo unavyo mfanyiaga mke wako !!
Don't attack me personally
 
Back
Top Bottom