Kwa graduates wanaohitaji kusoma CPA

Kwa graduates wanaohitaji kusoma CPA

Wenye shahada ya kwanza ambayo ni non accounting yoyote unaanza foundation stage, ila utasamehewa kwa masomo ambayo umeyasoma Tayari.........ningeattach prospectus ila bahati mbaya nimefomat simu yangu hivyo imefutika.
Shukrani mkuu.
 
Tokea lini konda akawa mkombozi kwa watu wanaohitaji CPA??! [emoji30][emoji30][emoji30]
 
Kwani nani kakwambia wanawake wote wataolewa? We mke wake na mimi mchepuko wake.
Mwambie aachena na wewe hata ka unadanga kwani unadanga na babake,humu JF kila mtu na mpango na siyo kujump kwenye conclusion shauri ya picha au comments za mtu.
 
Huyu hata simjui sema anavyopenda kunifuata makalioni utasema nimembebea bwana ake.
Huku kuna binadamu wa hovyo sana.
Mwambie aachena na wewe hata ka unadanga kwani unadanga na babake,humu JF kila mtu na mpango na siyo kujump kwenye conclusion shauri ya picha au comments za mtu.
 
Samahani mkuu, ninavyokuona hata hujui CPA ni nini. Kwa hiyo sidhani kama ni mtu sahihi kuiongelea CPA. Kwa mhasibu hawezi kuongea ulichoongea. Bila CPA huwezi kupata kazi kwenye kampuni zinazojitambua. Na huwezi kuitwa mhasibu kama huna CPA. Hata kama una degree ya uhasibu lakini huna CPA wewe huwezi kuitwa mhasibu bali ni karani tu. So usitafute kiki kwa mambo usiyoyajua.

Safe Sana mzeee
 
Hii NBAA inatakiwa ifutwe tuu na serikali manaa haifai hii inakula tuu ela za wanachama aina maana mkuu Magufuli hii board ya uhasibu tunakuomba uifute tuu kuna uwozo sana kwny hii board yani ifutwe kabisa kama ikiwezekanika itakuwa vzr sana wamefanya board kuwa kitega uchumi..Mkuu magufuri tunakuomba usikie kilio chetu wahasibu hii board haifai ifute mkuu...

Hili povu linaonesha kama vile NBAA wamekukamata Sana Broo,siyo bure kabisa aiseeeee.

Manake NBAA siyo watu wa mchezo mchezo.
 
Hili povu linaonesha kama vile NBAA wamekukamata Sana Broo,siyo bure kabisa aiseeeee.

Manake NBAA siyo watu wa mchezo mchezo.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza shauri ako eti wamenikamata ni vile tuu siwezi expose vitu vyangu humu sababu watu tuna tumia fake id ila kama si hivyo ninge expose uone shauri ako eti nimekamatwa dah nakucheka tuu mana ujui kitu...
 
poa Mkuu toa points zenye nguvu na zilizoenda shule kuonesha kwamba NBAA hawafai.
 
Nashusha nondo za kufaulu single sitting kwa stage ya intermedeate na final. Kama una degree ya uhasibu kutoka chuo/vyuo vinavyotambuliwa na NBAA utaanzia intermediate stage. Nafundisha masomo ya intermediate na final tu. Wanafunzi wangu wametoka wanachekelea kwenye paper iliyoisha ijumaa, 2 November. Hivyo kama unahitaji kufanya hii mitihani kwa kujiamini please usisite kuwasiliana nami.
Kama bado nasoma bachelor degree kwenye mambo ya afya naruhusiwa kusoma?? Ni level gani naanzia??
 
Kama bado nasoma bachelor degree kwenye mambo ya afya naruhusiwa kusoma?? Ni level gani naanzia??
Unaruhusiwa ila utaanzia chini sana. Utaanzia ATEC 1 yaani Accounting Technician 1. Hii ni level wanayoanzia candidates wenye elimu ya secondary. So since wewe hujapata degree bado utawekwa kundi la watu wenye elimu ya secondary.
 
Unaruhusiwa ila utaanzia chini sana. Utaanzia ATEC 1 yaani Accounting Technician 1. Hii ni level wanayoanzia candidates wenye elimu ya secondary. So since wewe hujapata degree bado utawekwa kundi la watu wa secondary.
Na vipi kama tayari nina degree lakini inayohisiana na afya??
 
Back
Top Bottom