Kwa graduates wanaohitaji kusoma CPA

Kwa graduates wanaohitaji kusoma CPA

Na sisi form four leaver jee tunaanzia wapi??
Kuna dada mmoja alikuwa na degree ya taxation kama sikosei, alianzia foundation. Ila kwa sasa anamalizia intermediate stage. Ali-clear foundation na amefanya juzi intermediate. Ila bora uwasiliane na board kwa uhakika zaidi.
 
Haina maana kwako kwa kuwa hukukaa wewe 17 years kusoma mpaka nilipofika na nafanya kazi kwa degree yangu.
Hata kikitoka kitu cha hovyo ni mimi na ubongo wangu na kinywa changu havikuhusu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kimtikacho mtu kinywani ndicho kilichoujaza moyo wake.
Narudia tena “ELIMU HAINA MAANA”
 
okay.. next year nataka nifanye CPA nikipata nguvu za kufanya hivyo
Kuna dada mmoja alikuwa na degree ya taxation kama sikosei, alianzia foundation. Ila kwa sasa anamalizia intermediate stage. Ali-clear foundation na amefanya juzi intermediate. Ila bora uwasiliane na board kwa uhakika zaidi.
 
Jioni Njema mama. Mshike sana elimu usimuache aende zake
Haina maana kwako kwa kuwa hukukaa wewe 17 years kusoma mpaka nilipofika na nafanya kazi kwa degree yangu.
Hata kikitoka kitu cha hovyo ni mimi na ubongo wangu na kinywa changu havikuhusu.
 
Konyooo.. ukiona naandika pumba unajua kichwa changu kinejaa makamasi eeh? Mscheeewwwwww tena
Waambie haoo!! [emoji108] [emoji108]
Wanajua wadangaji wote maisha yameshinda hawana mbele wala nyuma[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna dada mmoja alikuwa na degree ya taxation kama sikosei, alianzia foundation. Ila kwa sasa anamalizia intermediate stage. Ali-clear foundation na amefanya juzi intermediate. Ila bora uwasiliane na board kwa uhakika zaidi.
Non Accounting Programmes zote wanaanzia Foundation
 
Kama nilishawahi kukudanga (which I'm very sure huna hela ya kukudangia) then niite mdangaji. Zaidi ya hapo tuheshimiane.
Waambie haoo!! [emoji108] [emoji108]
Wanajua wadangaji wote maisha yameshinda hawana mbele wala nyuma[emoji1787][emoji1787]
 
Kama nilishawahi kukudanga (which I'm very sure huna hela ya kukudangia) then niite mdangaji. Zaidi ya hapo tuheshimiane.
kumbe ni kweli pesa mbele tu mzigo ukiwekwa mezani unatoa mpaka amber ruty[emoji1787][emoji1787]
 
Haina maana kwako kwa kuwa hukukaa wewe 17 years kusoma mpaka nilipofika na nafanya kazi kwa degree yangu.
Hata kikitoka kitu cha hovyo ni mimi na ubongo wangu na kinywa changu havikuhusu.
Hahaaah nahisi jamaa alikua anakutania tu,kwa research niliofanya 60% ya member humu jf elimu yao ni kuanzia degree na kuendelea so mtu yoyote atakayeshangaa member wa jf kuwa na degree na Mimi namshangaa
 
Hii NBAA inatakiwa ifutwe tuu na serikali manaa haifai hii inakula tuu ela za wanachama aina maana mkuu Magufuli hii board ya uhasibu tunakuomba uifute tuu kuna uwozo sana kwny hii board yani ifutwe kabisa kama ikiwezekanika itakuwa vzr sana wamefanya board kuwa kitega uchumi..Mkuu magufuri tunakuomba usikie kilio chetu wahasibu hii board haifai ifute mkuu...
Utakuwa umesota nayo si buree!!!
NBAA MNATESA WAHASIBU WENYE NDOTO NA CPA PUNGUZENI KUKAZA,
Kuna watu wanaona Bora wakimbilie ACCA .
 
Back
Top Bottom