Mkuu sina uhakika sana kwa mtu ambaye hajasoma financial accounting ataanzia stage gani. Nafikiri kwa uhakika zaidi ungewacheki NBAA. Binafsi elimu yangu ya chuo nimeipatia nje ya nchi, na nilisoma financial accounting, hivyo nilianzia intermediate. Kwa graduates wa vyuo vya Tanzania wenye degree za uhasibu zinazotambuliwa na NBAA wanaanzia intermediate. So kwa wewe mwenye degree ya finance sina uhakika utaanzia stage gani but it's more likely utaanzia foundation probably unaweza kupata exemption kwa baadhi ya masomo ya foundation.