ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 927
- 1,927
Oi oi..
Copy and paste.. Nimeipenda hii
Copy and paste.. Nimeipenda hii
unafanya yote hayo na wahuni wanaichapa tu watakavyo
- Au Waigizaji. wakiwa wanakamilisha scene.Hayo Tuwaachie watu wa landani uingereza na viunga vyake
Pumbaf sako unataka hawa wajinga wa Tz wakutese sass...utasikia alafu baby...nikwambie kitu..
😅😅 .. Wanawake wenyewe wame mpinga alienzisha hii topic kwa page yake.. hayatekelezekiPumbaf sako unataka hawa wajinga wa Tz wakutese sass...utasikia alafu baby...nikwambie kitu..
Achsneni na uromantic ni utumwa utatumiwa vibaya.
😂😂😂
🔹 Ukweli wa KisaikolojiaOi oi..
Copy and paste.. Nimeipenda hiiView attachment 3453610View attachment 3453611View attachment 3453612View attachment 345361
Sio kwamba hatupendi kuea romantic lkn ukiwa romantic unageuzwa atm,😅😅 .. Wanawake wenyewe wame mpinga alienzisha hii topic kwa page yake.. hayatekelezeki
haya ni maisha ya kitamthilia, huwezi mantain hiyo lifestyle, labda uwe ni muigizaji nguli
Naona unatutia moyo...