Kwa Gentleman tu

Kwa Gentleman tu

Wafilipino kama wafilipino!

Na yeye anakufanyia nini ukifanya yote hayo tena kila siku!!

Labda ndoa changa isiyokuwa hata na mtoto na kwa lifestyle hiyo hamtapenda hata mpate wageni watakata vibe la kubinyana matako!
 
Kichwa changu kina mambo mengi nawaza hali mbaya ya uchumi, madeni, mikopo kharamu kama Kausha damu, Songesha, tozo pasua kichwa, Kodi za nyumba, marejesho, ada za watoto, deni la taifa na kadhalika!
Huo muda wa kufanya hayo maigizo nautoa wapi?
 
Aisee, kazi kweli kweli!
Tumeshindwa siye mdau, wewe endelea na hayo. Ila usije ukalalamika humu kwamba mwanamke wako hatosheki na hayo!
 
Back
Top Bottom