Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,163
- 33,644
Sio lazima uumizwe ndio ujue ukweli. Tunaishi na ndugu, jamaa na marafiki kwaiyo tunaona yanayoendelea kwenye jamii hata kama hayajatukuta sisi binafsi. Mfano wimbi la wakina dada wa kisasa ku-commercialized mahusiano ya kimapenzi(indirect prostitution) hata kama haupo kwenye mahusiano unaona kinachoendelea.Yes sbb wameumizwa basi wanadhani wanawake wote wako sawa
Kitu ambacho sio
Mi naamini Kuna wanaume wazuri tu japo nimepitia pia mikono ya wabaya ila hii Hina maana kuwa wazuri hawapo
Wimbi la wanawake duniani kote kutumia loopholes za sheria ya ndoa kujipatia mgao wa mali kupitia talaka. Sio lazima ufunge ndoa na kutalakiana na mkeo ndio uone hicho kitu.
Mwerevu anajifunza kupitia makosa ya wengine na kufanya maamuzi sahihi. Mjinga anajipeleka kwenye hatari na mindset kama yako at the end he realize hi is not special he was just arrogant and stubborn