Aha ha ha ha 😒 🤔 😒 🤔 una umri gani kwenye FX mzee. News za leo NFP hili wala siyo jambo geni/Kushangaza kabisaAisee, leo dollar imeanguka ghafla kwa yeyote ambaye alikuwa ana trade pair yoyote yenye dollar iwe gold, au currency kama alicheza vizuri atakuwa amekula profit kinoma.
Sijui ni tarriff za bwana trump au aje maana imeruka kinoma.
Hata si trade mkuu kuna vitu nakuwa navipitia kwenye hizo charts zenu kupata hints kwa ajili ya kiproject changu, sasa leo nimeshangaa kuona candles zimekimbia balaa.Aha ha ha ha 😒 🤔 😒 🤔 una umri gani kwenye FX mzee. News za leo NFP hili wala siyo jambo geni/Kushangaza kabisa
Kila ijumaa ya kwanza ya mwezi husika.Hata si trade mkuu kuna vitu nakuwa navipitia kwenye hizo charts zenu kupata hints kwa ajili ya kiproject changu, sasa leo nimeshangaa kuona candles zimekimbia balaa.
Umeniongezea maarifa kumbee NFP inakuwa announced kila friday ya mwisho ya mwezi... thank you
Basi katika project yako ongezea hiyo ijumaa ya kwanza ya kila mwezi saa tisa na nusu mchana soko la fedha huwa linawaka motoHata si trade mkuu kuna vitu nakuwa navipitia kwenye hizo charts zenu kupata hints kwa ajili ya kiproject changu, sasa leo nimeshangaa kuona candles zimekimbia balaa.
Umeniongezea maarifa kumbee NFP inakuwa announced kila friday ya mwisho ya mwezi... thank you
The Burning Spear hii saa tisa na nusu mchana ni saa za hapa Tanzania? dah naihitaji sana hii info maana itanisaidia sana kwenye jambo langu. Natanguliza shukrani sana kwako kwa madini haya uliyoandika hapa JF. Mungu akubariki sanaBasi katika project yako ongezea hiyo ijumaa ya kwanza ya kila mwezi saa tisa na nusu mchana soko la fedha huwa linawaka moto
Market hours kwa saa za Afrika Mashariki.The Burning Spear hii saa tisa na nusu mchana ni saa za hapa Tanzania? dah naihitaji sana hii info maana itanisaidia sana kwenye jambo langu. Natanguliza shukrani sana kwako kwa madini haya uliyoandika hapa JF. Mungu akubariki sana