muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,048
- 1,479
We jamaa kama una matatizo yako ya kimwili, kimtazamo kiafya, pambana na hali yako ila usipotoshe watu.
- Kwa wale waumini tumeambiwa kuwa enendeni duniania mkaijaze nchi, hii ni agizo la muumba
- Ukifika uzeeni kama huna mtoto unategemea utasaidiwa na nani kwa kazi za hapa na pale
- Hakuna furaha kama kuishi na kundi la watu ambao ni kizazi chako, kuna nyakati za furah na huzuni
- Ndoa zenye shida na karaha husababishwa na wepenzi wenyewe na si kusudi la Mungu
- Tendo la ndoa ni sehemu yenye kuleta furaha na msisimko wa kiakili, ndoa ndiyo gurantee pekee na sio kwa machangudoa
- Watu waliooa na kufuata misingi ya ndoa, ndo sehemu pekee ya kuepuka risk ya magojwa ya zinaaa na Ukimwi