Kwa dunia ya sasa kuoa si lazima sana

Kwa dunia ya sasa kuoa si lazima sana

Sasa nani haendi mbinguni kati ya mtoa mada fikirishi au wewe mwenye matusi tupu? Unamjua MUNGU yupi wewe amekuambia tukana sana?. Umepanick bila sababu mzee. Unateseka bure mzee,pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufafanuzi mbona rahisi tu. Unaweza ukawa hujaoa ama kuolewa,lakini una watoto. Hujawaona au kusikia hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema mie nimechanganya kati ya kuolewa/kuoa na kuzaa watoto wakati hii ya kuzaa bila kufunga ndoa ni kutokana na mmonyoko wa maadili tu na jinsi maisha yalivyobadilika. Sikatai watu wanazaa na kulea watoto lakini hiyo ni njia ya mkato na familia za hivi sasa.
 
akijibu nishtue
Nimeoa. Hata hivyo hicho hakiwezi kukuzuia kujielimisha zaidi nje ya ndoa na ndani ya ndoa. Lakini haina maana kwamba ndio maisha yangu. Haina maana kwamba huwezi kuona vingine ndani ya ndoa na nje ya ndoa. Hii ni mada fikirishi,si mada yangu peke yangu,ndio maana tunaijadiri wengi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe vipi umeoa au umeolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeoa. Hata hivyo hicho hakiwezi kukuzuia kujielimisha zaidi nje ya ndoa na ndani ya ndoa. Lakini haina maana kwamba ndio maisha yangu. Haina maana kwamba huwezi kuona vingine ndani ya ndoa na nje ya ndoa. Hii ni mada fikirishi,si mada yangu peke yangu,ndio maana tunaijadiri wengi hapa

Sent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is possible if you are lucky enough to get the good marriage. But most of the marriage problems will kill u before u become old.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha uongo ww... Inamaana usipoingia kwenye ndoa unakua Problem Free? Wangapi hawapo kwenye ndoa na wanalia wanasalitiwa kwenye mahusiano watu wanadate multiple partners kwakua hakuna commitment, maradhi nje nje we naona ndo maisha mazuri haya? Si ajabu umekulia malezi ya Single parent ndomana unaona kawaida lasivo usingekua mchoyo kunyima watoto wako malezi ya complete Family yenye upendo
 
Swet-R nimependa sana ilo jina la K mpanuko

Kuna mmoja nilikutana nae K yake ilikuwa double mpanuko maana mkono wangu ulikuwa unaingia wote

Alafu ukitoka apo anaenda kukutangaza eti unakibamia
 
Back
Top Bottom