Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

Huyo Vicent anaonekana ni mtu wa matusi tupu kwa sababu CV yake tu inaonyesha amesoma shule tatu (3) msingi ambazo zote zipo hapo hapo Musoma Mjini inaonekana hana nidhamu.

U r missing something...kwani Katiba inataka mtu mwenye sifa gani agombee ubunge? Sifa kuu ni awe Mtz, ajue kusoma na kuandika na asiwe ameshtakiwa kwa makosa yaliyoainishwa. Aliyewaambia Ubunge ni usomi nani? mbona kuna Maprof na maDr. bungeni wamefanya nini kama si utumbo? Lukuvi ni Std VII lkn leo ni Waziri! Hekima na busara ndio vitu muhimu maishani. Vicent Nyerere hakwenda shule kama wengine, but is much better of than others!
 
Are we really great thinkers? Kama we think we are hebu tuache kuchangia vitu ambavyo siyo vya great thinkers, hiyo cv ya Bwana. Nyerere mbona ni nzuri ukilinganisha na viongozi wetu wengi tunao wategemea? Mfano Bwana Lukuvi, Makamba SR n.k.

Harafu kama siyo wavivu wa kusoma, Albert Einstein alikuwa na elimu gani to become one of the greatest inventor and a professor! Bill gate ana elimu gani to become the president of one of the most successful company in the world?

Big brain haitegemei elimu, ila labda, nasisitiza labda elimu inaweza kusaidia kidooogo saaana, lets be great thinkers wana JF wenzangu.
 
Siku zote uwa tunasikia humu Jamvini Chadema ni chama cha wasomi hivi kiwango cha O-level ndio usomi?
 
tumeshakuwa na ma professor wengi akina kapuya, msola, maghembe, dr. shukuru kawambwa, dr. nkya, dr. mponda,dr. balali, n.k utendaji wao mbona hauonekani?? vipi kuhusu mrema alipokuwa mambo ya ndani??vipi sokoine??
 

Nani kakuambia Vicent ni mtoto wa Nyerere ? ukweli umeisha julikana huyo sio wa ukoo huo bana
 

Mgombea mwenza wa Slaa mwaka 2010 alikuwa na elimu gani vile ???:lock1::lock1:

 
Mi nna CV kali lakini siajwahi pewa hata uenyekiti wa kitongoji!!!

Unasubiri kupewa? Nenda kwa mtendaji wa kijiji chako umuombe fomu ya kugombea uenyekiti wa kitongoji mara itakapo kuwa wazi huo ndiyo utaratibu kumbe hujui hata taratibu za ngazi hii na unaota kupewa!!
 
[SIZE=+1]In 1908 Albert Einstein became a lecturer at Bern University, where he made attempts to extend his special theory of relativity. After his resignation from the patent office, he became professor of physics at the University of Zurich in 1909. Next he moved to Prague University in 1911, and in 1912 produced his general theory of relativity, before taking up a chair at the Swiss National Polytechnic in Zurich.[/SIZE]
[SIZE=+1]In 1914, he took up the directorship of the Kaiser Wilhelm
[/SIZE]

Mkuu kweli unaweza kutolea mfano Vicent Nyerere na Albert Einstein:crazy:
 
Tue waelewa....jamaa ana bonge ya CV hiyo hapo imefichwa baadhi ya info...pia elimu si vyeti..
 


Duh!Kumbe si yeye peke yake eenh?
 
Binafsi namfahamu sana kijana Vicent K Nyerere ni kijana mwenye uwezo wa kujenga hoja kuliko hata wasomi wengi wa PHd,
kile ni kichwa ambacho kiko level zingine ,
na mimi naamini kijana ana uwezo mkubwa kuliko wasomi wengi
 
Hivi unajua walioingiza nchi hii kwenye matatizo makubwa wana elimu gani?

Mfano chenge, balali etc
 
Siku zote uwa tunasikia humu Jamvini Chadema ni chama cha wasomi hivi kiwango cha O-level ndio usomi?
Hivi huyu Profesa maji marefu huo Uprofesa aliupataje wakati ni standard seven Graduate!!??
 
wazee wa magwanda hawashindi jamani wekeni rekodi hii tuwasiliane april tatu,nafahamu msimamo wa wameru wapiga kura siyo wajinga kama mnavyofikiri
 
Huyo Vicent anaonekana ni mtu wa matusi tupu kwa sababu CV yake tu inaonyesha amesoma shule tatu (3) msingi ambazo zote zipo hapo hapo Musoma Mjini inaonekana hana nidhamu.
Wabunge wengi wa upinzani hasa cdm wamechaguliwa either coz raia wameichoka ccm au coz ya nguvu ya slaa. so ucjichoshe kuangalia cv zao utapata ugonjwa moyo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…