Kwa bajeti ya Tsh 800,000 (laki nane) naombeni ushauri ninunue simu gani nzuri

Samsung note 8 baba lao unapata na chenji inabaki hapo
Ni simu nzuri ila Camera ndogo, na Battery Ndogo pia /inaisha haraka
Kwenye Camera walicho ongeza ni resolution ili picha ionekane vizuri kwa camera ya kawaida
 
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa.

Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha thiyo hela nataka kununua simu hivyo nimeona nilete hili wazo humu ndani nipate ushauri mzuri kutoka kwenu. Simu ninayotaka nataka iwe na vigezo vifuatavyo

_display nzuri
_uwezo wa kukaa na chaji angalau Masaa kumi kulingana na kazi ninayofanya.
_Camera nzuri
_storage angalau ianzie 128gb
_Ram angalau pia ianzie 6gb

Karibuni kwa mawazo hapo, najua humu Kuna watu wazoefu wa haya mambo hivyo naombeni ushauri hapo.

NB, nataka mpendekeze android mobile phone maana huko upande wa pili yaani ios si mshirika maana na kwa hiyo bei niliyo nayo siwezi Pata hata iPhone X iliyo kwenye ubora mzuri.

Natanguliza shukrani.
Teckno y3⛹️
 
Mi pia nimepata mshtuko kama vile nimepigiwa na kitu kizito kichwani. Tena ana Mpango wa kuongeza elfu 60 anunue simu Kali zaidi. Mimi hesabu zangu zinanituma kujenga Banda la mbuzi kwa laki 2, laki 6.5 nanunua kondoo majike 8 na dume moja nabaki na ya kuendesha mifugo na baada ya miezi sita Nina uhakika wa kuishi kwa uchumi imara kibongobongo.
Laki nane part one

Huo ni mtaji tosha kwa kanda za juu kusini kukodi shamba elfu 40 heka mbili kulima elfu sitin@ kila heka hapo utakuwa umetumia laki na 60 ukinunua zako mbegu za maharage debe tatu ni kama 90 hivi kukod watu wa kukupandia utachukua watu sita kila mmoja elfu5 kupalilia kwa hizo heka mbili elfu 60 mavuno kumkodi mtu kwa siku kwa siku akuvunie elfu tano ukipata watu 7 heka mbili siku moja, kupiga 2000 kwa gunia la ujazo wa kilo 100 hapo utatoa gunia kumi na tano had 18 ukizipeleka sokoni hukosi m3 unafungua kashop kako unajikusanyia mtaji msimu wa pili unagonga heka 6 jua linagonga mbegu yote inakauka unaambua gunia 8 kwa kuwa kashop unako una kusanya tena mtaji unarudi kiukali unalima heka saba Mungu hakunyimi kila siku, unajipatia gunia zako 50 huyo mdogo mdogo unazani ndani ya miaka mitano unakuwa wapi

Laki nane
Part2
Ukinunua simu unatumia weeeeee unajikuta umepanda boda imeanguka au watu wamekwapua au ghafla unaosha imezama kwenye maji au hujakaa sawa life limekuchapa umeingia jf kuilaumu serikali haitoi mikopo kwa liba nafuu, mara ooh huyu rais wa awamu hiyi hajali wananchi, kwa hayo malalamiko yako yote serikali hata haikusikizi, ndio kwanza samia huyo dubai, paris ufarasa kuona hayo umeamua kuuza simu ya laki nane kwa elfu 80 ili ulipe pangohujakaa sawa mara umeenda kuwa kibarua kwenye viwanda japo upewe k5 ya kula kwa siku nako kugumu umerud kwa dingi na umri huo ukajikuta unamiaka 39 ukajikuta umeazima simu ya wana na kuingia jf kupost "wakuu umri umeenda sina kiwanja sina mchongo na bado naishi kwa wazee" wana wanakujibu hata mimi na sina mpango wa kutoka hom kumbe mwenzako alishajipanga kitambo unakuja kugundua unakuja kupost tena sion umuhimu wa kuishi kmmk zk

Nb ni mawazo yangu ya kijinga usiyafuate kila mmoja na maisha yake
 
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa.

Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha hiyo hela nataka kununua simu hivyo nimeona nilete hili wazo humu ndani nipate ushauri mzuri kutoka kwenu. Simu ninayotaka nataka iwe na vigezo vifuatavyo

_display nzuri
_uwezo wa kukaa na chaji angalau Masaa kumi kulingana na kazi ninayofanya.
_Camera nzuri
_storage angalau ianzie 128gb
_Ram angalau pia ianzie 6gb

Karibuni kwa mawazo hapo, najua humu Kuna watu wazoefu wa haya mambo hivyo naombeni ushauri hapo.

NB, nataka mpendekeze android mobile phone maana huko upande wa pili yaani ios si mshirika maana na kwa hiyo bei niliyo nayo siwezi Pata hata iPhone X iliyo kwenye ubora mzuri.

Natanguliza shukrani.
We tamanisha tu watu, watajua msukuma au mnyakyusa umetoka zako uyole huko wakuibie ubaki na subuni kwenye box
 
Mi naulizia wapi nitapata duka wanauza simu za oneplus nord unboxing. Yani mpya kabisa. Hata nikipata n page ya isha itakuwa poa sana
 
Mi pia nimepata mshtuko kama vile nimepigiwa na kitu kizito kichwani. Tena ana Mpango wa kuongeza elfu 60 anunue simu Kali zaidi. Mimi hesabu zangu zinanituma kujenga Banda la mbuzi kwa laki 2, laki 6.5 nanunua kondoo majike 8 na dume moja nabaki na ya kuendesha mifugo na baada ya miezi sita Nina uhakika wa kuishi kwa uchumi imara kibongobongo.
Dah mkuu
 
Iwe ya kuanzia bei gani mana dukani kwangu zipo za bei tofauti tofauti
 
Muhimu ni kujua unanunua Simu kwa ajili ya matumizi gani (kama ni matumizi ya kawaida ya kuwasiliana na ndugu na jamaa) chukua simu yoyote. Ila kama unamatumizi mengi (heavy user) ni vizuri upate ushauri
Kuhusu batrii, simu yoyote utakayo nunua imeandikwa nguvu ya betrii ni wewe tu kujua unataka betrii kubwa kiasi gani na kama unataka simu kwa ajili ya Picha pia uliza uelekezwe simu yenye kamera yenye nguvu/kubwa nk
Wahaya wana matumizi gani zaidi ya kujipiga picha na kujimwambafai mitandao mfano tunao bwana kidukulilo
 
Hii ingewekwa kule kwenye Tech ndio ungepata ushauri mzuri, Huku kwenye Habari na Hoja mchanganyiko unaweza kuvamiwa na kundi la wakulima ukapewa mchanganuo wa kilimo cha Njugumawe, au mtama
 
Mi pia nimepata mshtuko kama vile nimepigiwa na kitu kizito kichwani. Tena ana Mpango wa kuongeza elfu 60 anunue simu Kali zaidi. Mimi hesabu zangu zinanituma kujenga Banda la mbuzi kwa laki 2, laki 6.5 nanunua kondoo majike 8 na dume moja nabaki na ya kuendesha mifugo na baada ya miezi sita Nina uhakika wa kuishi kwa uchumi imara kibongobongo.
Watu mnafurahisha Sana kwa hiyo mpaka kuipata hiyo 800k unadhani yeye hajishughulishi kuingiza kipato? Kwa hiyo mtu akipata hela hatakiwi kufanya chochote zaidi ya kuiweka kwenye kilimo na ufugaji
 
Laki nane part one

Huo ni mtaji tosha kwa kanda za juu kusini kukodi shamba elfu 40 heka mbili kulima elfu sitin@ kila heka hapo utakuwa umetumia laki na 60 ukinunua zako mbegu za maharage debe tatu ni kama 90 hivi kukod watu wa kukupandia utachukua watu sita kila mmoja elfu5 kupalilia kwa hizo heka mbili elfu 60 mavuno kumkodi mtu kwa siku kwa siku akuvunie elfu tano ukipata watu 7 heka mbili siku moja, kupiga 2000 kwa gunia la ujazo wa kilo 100 hapo utatoa gunia kumi na tano had 18 ukizipeleka sokoni hukosi m3 unafungua kashop kako unajikusanyia mtaji msimu wa pili unagonga heka 6 jua linagonga mbegu yote inakauka unaambua gunia 8 kwa kuwa kashop unako una kusanya tena mtaji unarudi kiukali unalima heka saba Mungu hakunyimi kila siku, unajipatia gunia zako 50 huyo mdogo mdogo unazani ndani ya miaka mitano unakuwa wapi

Laki nane
Part2
Ukinunua simu unatumia weeeeee unajikuta umepanda boda imeanguka au watu wamekwapua au ghafla unaosha imezama kwenye maji au hujakaa sawa life limekuchapa umeingia jf kuilaumu serikali haitoi mikopo kwa liba nafuu, mara ooh huyu rais wa awamu hiyi hajali wananchi, kwa hayo malalamiko yako yote serikali hata haikusikizi, ndio kwanza samia huyo dubai, paris ufarasa kuona hayo umeamua kuuza simu ya laki nane kwa elfu 80 ili ulipe pangohujakaa sawa mara umeenda kuwa kibarua kwenye viwanda japo upewe k5 ya kula kwa siku nako kugumu umerud kwa dingi na umri huo ukajikuta unamiaka 39 ukajikuta umeazima simu ya wana na kuingia jf kupost "wakuu umri umeenda sina kiwanja sina mchongo na bado naishi kwa wazee" wana wanakujibu hata mimi na sina mpango wa kutoka hom kumbe mwenzako alishajipanga kitambo unakuja kugundua unakuja kupost tena sion umuhimu wa kuishi kmmk zk

Nb ni mawazo yangu ya kijinga usiyafuate kila mmoja na maisha yake
Mara nyingi kwenye maisha, kama huna hela ukiwaona wenye nazo wakifanya matumizi, unadhani wanafuja....
We komaa na Tecno yako ya 130,000/=
Mwache mwenzio anunue simu kulingana na uwezo wake.
 
Jaman ni oppo gan nxur mnayosemea??,nna A55 mpyaaaa lakn naiona ya kawaida tyuu
 
Mi pia nimepata mshtuko kama vile nimepigiwa na kitu kizito kichwani. Tena ana Mpango wa kuongeza elfu 60 anunue simu Kali zaidi. Mimi hesabu zangu zinanituma kujenga Banda la mbuzi kwa laki 2, laki 6.5 nanunua kondoo majike 8 na dume moja nabaki na ya kuendesha mifugo na baada ya miezi sita Nina uhakika wa kuishi kwa uchumi imara kibongobongo.
Hizo hela utakazopata utazifanyia nini?
Wengine washatafuta hela sasa wanatumia
 
Mara nyingi kwenye maisha, kama huna hela ukiwaona wenye nazo wakifanya matumizi, unadhani wanafuja....
We komaa na Tecno yako ya 130,000/=
Mwache mwenzio anunue simu kulingana na uwezo wake.
Ila Mkuu laki nane nyingi sana ujue
 
Back
Top Bottom