Kwa bajeti ya laki 7 hadi 8 nichukue XIOMI ipi?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,198
Wakuu wataalam wa Xiomi nilikuwa natumia A seeies za Samsung ila now nataka kuingia Rasmi XIOMI Naskia hzi simu ni nzuri sasa naombeni kujua kwa Bajeti ya laki saba hadi laki nane. Xiomi toleo gani iwe mpya itanifaa kuanzia uwezo,camera nzuri hadi muonekano mzuri. Nawasilisha.
 
Natumia Redmi Note 10 Pro. Ni ndugu jao hao na akina Xiaomi. Jaribu hizo pia, ni nzuri kwa kweli
 
Perfomance ya redmi note 10 pro kwenye camera inazidiwa na 11 pro , eleven pro ni simu bhana may be akimbilie 12 ultral
Redmi Note 10 Pro ni simu nzuri ukija kwenye real life.
Kamera ya Redmi Note 10 Pro inapaswa kuconsider sana kuliko ya Note 11 Pro. Kwanza inaweza kurekodi video za 4K na Note 11 Pro haiwezi, bila kusahau Redmi Note 11 Pro ina useless 2MP macro camera wakati Redmi Note 10 Pro ina 5MP macro camera na inafanya kazi nzuri kuliko Note 11 Pro. Kamera ya Redmi Note 10 Pro kiujumla ni nzuri kuliko ya Note 11 Pro

Ukija kwenye performance hata kama zinafanana usisahau Redmi Note 10 Pro inatumia Qualcomm Snapdragon 732G hiyo Redmi Note 11 Pro ina Mediatek Helio G96. Na slogan ni kwamba ukikuta Snapdragon Ina performance sawa na MediaTek basi chukua Snapdragon

Redmi Note 11 Pro inauzwa bei rahisi kuliko Note 10 Pro, umewahi kujiuliza kwa nini
 
Hiyo MediaTek Helio G96 inasababisha overheating kwenye Redmi Note 11 Pro na kupelekea kushuka kwa performance.

Redmi Note 11 Pro inauzwa bei rahisi kuliko Note 10 Pro, umewahi kujiuliza kwa nini
Kumbee

Naomba muongozo nitapata wapi note 10 pro mpya
 
Back
Top Bottom