Kwa bajeti ya Tsh 800,000 (laki nane) naombeni ushauri ninunue simu gani nzuri

Laki nane part one

Huo ni mtaji tosha kwa kanda za juu kusini kukodi shamba elfu 40 heka mbili kulima elfu sitin@ kila heka hapo utakuwa umetumia laki na 60 ukinunua zako mbegu za maharage debe tatu ni kama 90 hivi kukod watu wa kukupandia utachukua watu sita kila mmoja elfu5 kupalilia kwa hizo heka mbili elfu 60 mavuno kumkodi mtu kwa siku kwa siku akuvunie elfu tano ukipata watu 7 heka mbili siku moja, kupiga 2000 kwa gunia la ujazo wa kilo 100 hapo utatoa gunia kumi na tano had 18 ukizipeleka sokoni hukosi m3 unafungua kashop kako unajikusanyia mtaji msimu wa pili unagonga heka 6 jua linagonga mbegu yote inakauka unaambua gunia 8 kwa kuwa kashop unako una kusanya tena mtaji unarudi kiukali unalima heka saba Mungu hakunyimi kila siku, unajipatia gunia zako 50 huyo mdogo mdogo unazani ndani ya miaka mitano unakuwa wapi

Laki nane
Part2
Ukinunua simu unatumia weeeeee unajikuta umepanda boda imeanguka au watu wamekwapua au ghafla unaosha imezama kwenye maji au hujakaa sawa life limekuchapa umeingia jf kuilaumu serikali haitoi mikopo kwa liba nafuu, mara ooh huyu rais wa awamu hiyi hajali wananchi, kwa hayo malalamiko yako yote serikali hata haikusikizi, ndio kwanza samia huyo dubai, paris ufarasa kuona hayo umeamua kuuza simu ya laki nane kwa elfu 80 ili ulipe pangohujakaa sawa mara umeenda kuwa kibarua kwenye viwanda japo upewe k5 ya kula kwa siku nako kugumu umerud kwa dingi na umri huo ukajikuta unamiaka 39 ukajikuta umeazima simu ya wana na kuingia jf kupost "wakuu umri umeenda sina kiwanja sina mchongo na bado naishi kwa wazee" wana wanakujibu hata mimi na sina mpango wa kutoka hom kumbe mwenzako alishajipanga kitambo unakuja kugundua unakuja kupost tena sion umuhimu wa kuishi kmmk zk

Nb ni mawazo yangu ya kijinga usiyafuate kila mmoja na maisha yake
 
Mkuu una matumizi makubwa au kawaida tu?
Ni power user au utakua unatuma tu message WhatsApp na kupiga picha?

Nijibu nikushauri simu ya kuchukua
Mkuu nasubiri ushauri wako maana wengi 2etu hatuna matumizi makubwa zaidi ya uliyoyataja.

Toa ushauri mkuu
 
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa.

Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha hiyo hela nataka kununua simu hivyo nimeona nilete hili wazo humu ndani nipate ushauri mzuri kutoka kwenu. Simu ninayotaka nataka iwe na vigezo vifuatavyo
_display nzuri
_uwezo wa kukaa na chaji angalau Masaa kumi kulingana na kazi ninayo fanya.
_Camera nzuri
_storage angalau ianzie 128gb
_Ram angalau pia ianzie 6gb

Karibuni kwa mawazo hapo, najua humu Kuna watu wazoefu wa haya mambo hivyo naombeni ushauri hapo.

NB, nataka mpendekeze android mobile phone maana huko upande wa pili yaani ios si mshirika maana na kwa hiyo bei niliyo nayo siwezi Pata hata iPhone X iliyo kwenye ubora mzuri.

Natanguliza shukrani.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Banda la kuku lako 3.
Nauli ya kufata kuku Kongowe 30000
Hela iliyobaki laki 4.7 kuku tetea 40 na jogoo 7.
Baada ya miaka miwili wewe unapiga mluzi na kusifu ukuu wa Mungu
 
Banda la kuku laki 3.
Nauli ya kufata kuku Kongowe 30000
Hela iliyobaki laki 4.7 kuku tetea 40 na jogoo 7.
Baada ya miaka miwili wewe unapiga mluzi na kusifu ukuu wa Mungu
 
Laki nane part one

Huo ni mtaji tosha kwa kanda za juu kusini kukodi shamba elfu 40 heka mbili kulima elfu sitin@ kila heka hapo utakuwa umetumia laki na 60 ukinunua zako mbegu za maharage debe tatu ni kama 90 hivi kukod watu wa kukupandia utachukua watu sita kila mmoja elfu5 kupalilia kwa hizo heka mbili elfu 60 mavuno kumkodi mtu kwa siku kwa siku akuvunie elfu tano ukipata watu 7 heka mbili siku moja, kupiga 2000 kwa gunia la ujazo wa kilo 100 hapo utatoa gunia kumi na tano had 18 ukizipeleka sokoni hukosi m3 unafungua kashop kako unajikusanyia mtaji msimu wa pili unagonga heka 6 jua linagonga mbegu yote inakauka unaambua gunia 8 kwa kuwa kashop unako una kusanya tena mtaji unarudi kiukali unalima heka saba Mungu hakunyimi kila siku, unajipatia gunia zako 50 huyo mdogo mdogo unazani ndani ya miaka mitano unakuwa wapi

Laki nane
Part2
Ukinunua simu unatumia weeeeee unajikuta umepanda boda imeanguka au watu wamekwapua au ghafla unaosha imezama kwenye maji au hujakaa sawa life limekuchapa umeingia jf kuilaumu serikali haitoi mikopo kwa liba nafuu, mara ooh huyu rais wa awamu hiyi hajali wananchi, kwa hayo malalamiko yako yote serikali hata haikusikizi, ndio kwanza samia huyo dubai, paris ufarasa kuona hayo umeamua kuuza simu ya laki nane kwa elfu 80 ili ulipe pangohujakaa sawa mara umeenda kuwa kibarua kwenye viwanda japo upewe k5 ya kula kwa siku nako kugumu umerud kwa dingi na umri huo ukajikuta unamiaka 39 ukajikuta umeazima simu ya wana na kuingia jf kupost "wakuu umri umeenda sina kiwanja sina mchongo na bado naishi kwa wazee" wana wanakujibu hata mimi na sina mpango wa kutoka hom kumbe mwenzako alishajipanga kitambo unakuja kugundua unakuja kupost tena sion umuhimu wa kuishi kmmk zk

Nb ni mawazo yangu ya kijinga usiyafuate kila mmoja na maisha yake
Kuna watu simu ndio office yao.
 
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa.

Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha hiyo hela nataka kununua simu hivyo nimeona nilete hili wazo humu ndani nipate ushauri mzuri kutoka kwenu. Simu ninayotaka nataka iwe na vigezo vifuatavyo
_display nzuri
_uwezo wa kukaa na chaji angalau Masaa kumi kulingana na kazi ninayo fanya.
_Camera nzuri
_storage angalau ianzie 128gb
_Ram angalau pia ianzie 6gb

Karibuni kwa mawazo hapo, najua humu Kuna watu wazoefu wa haya mambo hivyo naombeni ushauri hapo.

NB, nataka mpendekeze android mobile phone maana huko upande wa pili yaani ios si mshirika maana na kwa hiyo bei niliyo nayo siwezi Pata hata iPhone X iliyo kwenye ubora mzuri.

Natanguliza shukrani.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Banda la kuku laki 3.
Nauli ya kufata kuku Kongowe 30000
Hela iliyobaki laki 4.7 kuku tetea 40 na jogoo 7.
Baada ya miaka miwili wewe unapiga mluzi na kusifu ukuu wa Mungu
 
Mkuu me nilikuwa muhanga wa kupenda simu ya Bei kubwa na brand kubwa kama iphone x au samsung s series and note series wakati matumizi yangu sehemu kubwa ni internet and social media.

Nilikuwa na iphone x nikauza nikanunua ifinix hot 11 play gb 128 and ram 4gb Kwa 3.5k (laki 3 na nusu tu) mpya kutoka maduka ya tigo na bundle napewa 6gb kila mwezi Hadi mwaka uishe na battery lake ni 6000mah yaani nikicharge Huwa naitumia internet muda wote bila kuzima data na nakaa 72hours ndio nachaji tena.
Wakati ikiwa na iphone ilikuwa lazima kuchaji mara Kwa mara Hadi KERO.

Iphone yangu niliuza 600k na nilikuwa nimeitumia Kwa miaka 2 na tangu ninunue hii simu ya Infinix Kwa kweli sijajutia hata kidogo sana na enjoy maisha ya simu yangu.
Change baada ya kuaza iphone yangu ilinisaidia mambo mengine.
 
Ukiongeza bajeti around 60,000/- unaweza pata Samsung Galaxy A52S, ni mid range iliyokamilika kwenye idara nyingi.

Vinginevyo A52 ila sio Kali kihivyo.

Hata hapa machaguo mengine.
XIAOMI REDMI NOTE 11 PRO 5G - 764,000/-
Xiaomi Poco M4 5G - 525,000/-
Oppo A94 5g - 674,000/-
Xiaomi Poco f3 - 715,000/-

Mkuu me nilikuwa muhanga wa kupenda simu ya Bei kubwa na brand kubwa kama iphone x au samsung s series and note series wakati matumizi yangu sehemu kubwa ni internet and social media.

Nilikuwa na iphone x nikauza nikanunua ifinix hot 11 play gb 128 and ram 4gb Kwa 3.5k (laki 3 na nusu tu) mpya kutoka maduka ya tigo na bundle napewa 6gb kila mwezi Hadi mwaka uishe na battery lake ni 6000mah yaani nikicharge Huwa naitumia internet muda wote bila kuzima data na nakaa 72hours ndio nachaji tena.
Wakati ikiwa na iphone ilikuwa lazima kuchaji mara Kwa mara Hadi KERO.

Iphone yangu niliuza 600k na nilikuwa nimeitumia Kwa miaka 2 na tangu ninunue hii simu ya Infinix Kwa kweli sijajutia hata kidogo sana na enjoy maisha ya simu yangu.
Change baada ya kuaza iphone yangu ilinisaidia mambo mengine.
Muhimu ni kujua unanunua Simu kwa ajili ya matumizi gani (kama ni matumizi ya kawaida ya kuwasiliana na ndugu na jamaa) chukua simu yoyote. Ila kama unamatumizi mengi (heavy user) ni vizuri upate ushauri
Kuhusu batrii, simu yoyote utakayo nunua imeandikwa nguvu ya betrii ni wewe tu kujua unataka betrii kubwa kiasi gani na kama unataka simu kwa ajili ya Picha pia uliza uelekezwe simu yenye kamera yenye nguvu/kubwa nk
 
Back
Top Bottom