Kwa bajeti ya 450k ninunue simu gani kati ya hizi?

FineOnce

Senior Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
138
Reaction score
230
Hello: Nina 450k nataka kununua simu nzuri kulingana na bajeti hii. Je, kati ya:

1. Infinix Note 10 (RAM: 4GB, ROM: 128GB, Bettry capacity: 5000 mAh, Android 11, size 6.95 inches, IPS LCD Display, Helio G85 Chipset, Triple Rear and 16MP Selfie Camera) Au

2. Oppo A31. (RAM: 4GB, ROM: 128GB, Bettry: 4230 mAh, Display: IPS LCD, 6.5 inches, Camera: triple 12MP, 2MP, 2MP.
OS: Android 9.0).

Nichukue simu ipi?, je aina gani nyingine ya simu zenye specifications kama hizi 2 naweza kununua kwa bajeti isiyozidi 450k ?

Nawasilisha.
 
Subiri kidogo, Rais anapandisha mshahara dakika chache zijazo.

Tafuta samsung wewe!!
 
Kati ya Hizo mbili infinix ipo vizuri zaidi, sema kwenye price point hio Tafuta Redmi note 11 ni simu nzuri zaidi.

Kama ni Mpenzi wa samsung unapata Samsung galaxy A22 ambayo pia ni nzuri kushinda zote 2 hapo juu.
 
simu unayotakiwa kupata na usijutie hii hapa, achana na hizo Samsung A kunani

Screenshot_2022-05-01-15-30-27-605_com.UCMobile.intl.jpg
 
Kati ya Hizo mbili infinix ipo vizuri zaidi, sema kwenye price point hio Tafuta Redmi note 11 ni simu nzuri zaidi.

Kama ni Mpenzi wa samsung unapata Samsung galaxy A22 ambayo pia ni nzuri kushinda zote 2 hapo juu.

Unaweza kupata a22 kwa 450,000? Kuna sehem niliiona nikaipenda, ila niliambiwa 550,000 tena 64gb na haipungui. Na mimi sinunui simu zaidi ya 500k asee!
 
Ooh ahsante Mkuu kwa ushauri mzuri
 
Unaweza kupata a22 kwa 450,000? Kuna sehem niliiona nikaipenda, ila niliambiwa 550,000 tena 64gb na haipungui. Na mimi sinunui simu zaidi ya 500k asee!
Mkuu ukiangalia tu Zoom Tanzania unaziona, 450,000 mpaka 470,000 new, unampigia simu unauliza Duka unaenda mwenyewe Physically Dukani.

Kikawaida Dukani bei ni rahisi kidogo kuliko Online.
 
Shukuran Mkuu kwa taarifa na evidence zaidi...
 
Back
Top Bottom