Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,737
Hadi sasa nina watatu na mimba moja. Wawili kwa mke wa ndoa, mmoja kwa x girlfriend aliyeamua kuzaa na mimi na mwingine ana mimba yangu. Huyu wa mwisho tulikutana kwenye basi saa ya kushuka tukashukia kituo kimoja tukapeana namba na baadae mimba.Hadi sasa una wangapi? kwa wanawake wangapi?
Wewe wasema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahh na zile sura ndefu softie
3, Bimkubwa ndo Bimdogo ktk wake wote wa Dingi... Bimdanga wengine 2 kila mmoja ana watoto 10.Duh 23 wamama wangapi?
Badp sina watoto. Namuomba sana Mungu anisaidie nime mama wa watoto wa baba mmojaWanao je umewaepusha?
mimi upande wa baba nina wadogo watatu wakike upande wa mama nina wadogo watatu pia, ke moja na me mbili.
Sasa sijui naiwekaje hii?
Au ndio kusema kwetu tupo saba lakini hakuna ninaeshare nae baba na mama.. Watatu wanashare baba na mama na watatu wengine wanashare baba na mama wengine tofauti..
Hauko peke yako
Duh kweli special case[emoji23] [emoji23]
Yani nikifikiri vile familia yenyewe ilivosambaratika.. Sitamani hata kuzaa na wanaume tofauti. Watoto wenyewe wengine tumejuliana ukubwani, basi hatuna hata ukaribu wala ule upendo.. Nakereka jamni.. Basi tuu. Africa kuna culture za hovyo hovyo sanaWanao je umewaepusha?
Yani nikifikiri vile familia yenyewe ilivosambaratika.. Sitamani hata kuzaa na wanaume tofauti. Watoto wenyewe wengine tumejuliana ukubwani, basi hatuna hata ukaribu wala ule upendo.. Nakereka jamni.. Basi tuu. Africa kuna culture za hovyo hovyo sana
Mkuu subiri wazazi wako wafariki ujue ndugu zako.Aseeeh.. hata wasomali wanatuzidi mkuu?
Nwei : kwetu tupo wanne mama mmoja baba mmoja.
Kwangu bado sijajua maana menopause bado.