Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

You made my day mkuu, You proove to be African man.
 

Hahaa haaa tuseme umerithi?
 
Kwa Dingi Tuko 23, Kwa Bimkubwa 3.

Baba mmoja mama mmoja tuko 3
 
matatizo makubwa mno kwa jamii

Namshukuru Mungu kwetu tuko 5 na wote twafanana na Baba.
Challenge ni kwa sisi watoto je tutaweza linda alivyofanya ili tusiwe sehemu ya matatizo ya sasa?
 
Mkuu zamani ilikuwa ndoa na watoto wanajulikana
na haki zao zote zinajulikana

Shida ya siku hizi ni kuzaa bila ndoa ovyo ovyo...
Nakubaliana na wewe Mkuu, Japo kuna kesi nyingine unakuta mama mmoja ameolewa na kuzaa na wanaume wawili mpaka watatu, maana yake ameachika 2 mpaka 3, nina kesi moja ya shemeji yangu, dada ya mke wangu, ameolewa mara 3, kesi nyingine shangazi ya mke wangu ameolewa mara 3 na kuzaa mara zote hizo tatu na zaidi amezaa na wanaume tofauti tofauti baada ya kuachana na maisha ya ndoa.
 
Namshukuru Mungu kwetu tuko 5 na wote twafanana na Baba.
Challenge ni kwa sisi watoto je tutaweza linda alivyofanya ili tusiwe sehemu ya matatizo ya sasa?

Sio challenge ndogo
 
Hahaa haaa tuseme umerithi?


Sijarithi mkuu. Baba alikua gentle man sana. Hadi mauti inamfika record zote rasmi zinasoma tuko sita tu. Baba mmoja mama mmoja. Na wakati wa msiba hapakutokea tafrani. Miaka zaidi ya kumi imepita hatujawahi kusikia chochote....

Hua napenda kutumia neno tunaofahamiana kwa kuwa mwanaume inawezekana kabisa akawa na mtoto na asifaham kwamba ana mtoto. Tofauti kabisa na mwanamke. Mtu anasingiziwa baba lakini sio mama.
 
baba alizaa na mama mwingine 3 mama nae alikuwa ana wengine na baba mwingine huko 2 wakaoana wakatuzaa 3
baba akaoa tena huyo mama alikuwa na wawili huko akazaa na baba watatu sasa sijui tupo wangapi hapa
Konyo koza! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

[emoji16][emoji16] jitahidi kupunguza tu mkuu kuanzia sasa
 
[emoji16][emoji16] jitahidi kupunguza tu mkuu kuanzia sasa


Hahahaa too late mkuu. Hata nikisema nilazimishe menopozi rekodi tayari imeshachafuka na ndio nipo kwenye peak!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…