Kwa anayehitaji mbegu za Mlonge kwa wingi

Lord Delamere in Kenya

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,908
5,998
Hizi mbegu pamoja na majani,magome na mizizi ya mti wa Mlonge vimekuwa na faida nyingi za kiafya kwa watu.

Sasa kuna eneo moja huko mikoani nilikoenda kutembelea ndugu zangu nimekuta hiyo miti ipo mingi sana. Kwakuwa ni majira ya kiangazi,miti hii imepukutisha majani yake kama miti mingine ila nilichoona mbegu ziko mitini maana zenyewe hazijapukutishwa.

Kwa anayezihitaji,hasa wale wataalamu wa tiba asili tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom