Kwa anayefahamu Ada za Kusomea Uaskari polisi au FFU

Peter Majaliwa

Senior Member
Jun 16, 2017
161
30
Kuna rafiki yangu anapenda kuwa askari polisi au kama itawezekana kupata nafasi yakwenda mafunzo ya FFU ataenda ana Div 2.

Msaada wenu kwa wazoefu.
 
๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜โœ
Hakuna Ada Ukipata Chance Ni Bure
 
Ukiona mtu anapenda kazi ya polisi ujue huyo mtu anapenda sana rushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa haaaa haaaa Mkuu umeuwa!!
Miaka ya 2009 baada ya mambo kuwa magumu zilitangazwa nafasi za police na mm ninaomba na jamaa yangu flani, huyo jamaa yangu alikuwa na mtu anamsaidia apate mimi sikuwa na mtu nikawa natembelea nyota ya jamaa yng.

Dah tulupitia hatua zote na jina langu lilisomwa kati ya waliotakiwa kureport kesho yake pale police ufundi ilikuondoka, doooh dakika ya mwisho aise nikakatwa bila kujua sababu kumbe kuna Dogo alipewa nafasi yangu, niliumia sana na kukata tamaa,.
Aise kumbe Mungu alinisubirisha sehemu nyingine nzuri zaidi, bora nilivyokosa huwenda ningekuwa na maisha ya hivyo maana huwa nikimtembelea huyo jamaa yng kwenye vile vinyumba vyao vya kurasini namhurumia sana

Ukweli ndio huo mkuu vijana wote wanaopenda kazi hiyo wanakuwa wanapenda sana rushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom