Kwa aliyoituhumu Tanzania akiwa ughaibuni, Lissu hatakiwi kabisa kukanyaga ardhi ya Tanzania

Magufuli utamuona mkorofi ukiwa mjanjamjanja lakini hakuna huruma kubwa kama kujenga vituo vya afya 467 nchi nzima ni huruma ambayo hakuna mwanadamu atayemlipa hiyo fadhila magufuli ukiwa mjanjamjanja lazima utamchukia tu
Huduma za jamii ni haki ya watanzania kwani pesa zinatumika ni pesa zao walizolipa kodi, pesa inayoleta maendeleo haitoki mfukoni mwa mtukufu binafsi na wala siyo Hisani ya CCM.
 
Huduma za jamii ni haki ya watanzania kwani pesa zinatumika ni pesa zao walizolipa kodi, pesa inayoleta maendeleo haitoki mfukoni mwa mtukufu binafsi na wala siyo Hisani ya CCM.
Shukrani hutoka pia MTU anapokupatia haki yako jiulize ni haki ya mtoto kufaulu lkn kwa nn umpe zawadi its life principals
 
Hakuna aliyebambikiwa kesi ni upotoshaji wenu tu mbona ww unaonekana muungwana hujabambikizwa hizo kesi tuweni wazalendo mm binafsi namuombea sn mheshimiwa atimize ndoto juu ya Taiga hiki brother tutapanda wote Treni ya kisasa ww hutamani hilo brother hautamani kuletewa bili ndogo ya umeme? Hautamani kupita ubungo interchange bila kusimaukiwawahi wanao nymbn ukapige nao story? Hautamani wazazi wako kijijini wawe na umeme? Na maji safi? Tutaongea mikakati mpaka lini?
Kubali ukatae utawala wa awamu ya tano ni utawala penda kesi kesi ni waonevu hakuna mfano, pesa inayotumika kuwabambikia kesi kuwahujumu kuwadhoofisha chadema ni pesa nyingi ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda kila wilaya, Hosptal kubwa za rufaa kila mkoa, Daraja toka hapo Dsm mpaka Zanzibar na pemba na pia daraja toka mwanza mpaka ukerewe na ukara na hata daraja toka mtwara mpaka kisiwa cha mafia, lakini CCM wameamua wahujumu upinzani kwa gharama kubwa badala ya maendeleo inashangaza Dunia.
 
Upuuzi anaofanya spika na maamuzi ya hovyo ya majaji ndo nchi ilipofikia
Nigrastratatract
Hivi unaona kwa namna anavyotawala Jiwe ni sahihi??

Rais gani kila anapoona sheria Fulani inambana, anaagiza ibadilishwe!

Kama ambavyo sasa hivi anavyotaka kufanya kwa kuwawekea kinga hao "wafuasi" wake, akina Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, Spika wa Bunge na Jaji Mkuu, iwe ni marufuku kuwashitaki kwenye mahakama yoyote TZ!
 
Kwahiyo kwa akili yako fupi gharama ya kuwa mjanjamjanja ni kuuawa? fisi wee
Magufuli utamuona mkorofi ukiwa mjanjamjanja lakini hakuna huruma kubwa kama kujenga vituo vya afya 467 nchi nzima ni huruma ambayo hakuna mwanadamu atayemlipa hiyo fadhila magufuli ukiwa mjanjamjanja lazima utamchukia tu
 
Kubali ukatae utawala wa awamu ya tano ni utawala penda kesi kesi ni waonevu hakuna mfano, pesa inayotumika kuwabambikia kesi kuwahujumu kuwadhoofisha chadema ni pesa nyingi ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda kila wilaya, Hosptal kubwa za rufaa kila mkoa, Daraja toka hapo Dsm mpaka Zanzibar na pemba na pia daraja toka mwanza mpaka ukerewe na ukara na hata daraja toka mtwara mpaka kisiwa cha mafia, lakini CCM wameamua wahujumu upinzani kwa gharama kubwa badala ya maendeleo inashangaza Dunia.
Hapana nakukatalia ndugu yangu nchi hii wezi na wajuaji ni wengi sn bahati nzuri au mbaya wezi hawa wamo Chadema,CCM, CUF na wasio na vyama hawa ndio wamelewesha maendeleo ya nchi hii mwezi wa pili nilikuwa nataka kwenda Poland nikatakiwa kuwa na polisi Clarence form michakato ya kutengenezewa mazingira ya Rushwa yako wazi bila uoga Watu kama hawa ukiamua kuchukua hatua wanalalamika
 
The man is naive ameropoka toka mwaka Jana serikali haijamjibu chochote

Amezunguka akihamasisha mabaya yote ya nchi serikali imekaa kimya

Nadhani huyu jamaa anaichukulia poa sn Tanzania kwamba unaweza Fanya chochote bila kufanywa chochote .
Jamaa anasahasau kwamba anaowategemea tuliwafurusha wakaondoka wakatuachia nchi yetu
.huyu jamaa akianza kujibiwa na dola na wala si serikali msije tena mkalia lia nchi haichezewi kipumbavu namna hii nchi hii imejengwa kwa misingi ambayo hakuna wa kuibomoa

Kwa hiyo ujuaji una mwisho tumeshaaamua nchi iende na itaenda yeyote aaamuaye kuikwamisha atasagwasagwa kwa government machinery
Kuna watu wanacheza na moto

Tataizo tuna with wengi kama huyu ambaye hawezi kufikiria mwenyewe. Yeye akiambiwa mtu adui anaamini. 😂😂
 
Vipato vya kifisadi huko CCM ni vingi mojawapo ya kipato cha kishetani ni hiki kikundi cha kuwanunua wapinzani ambacho kimesheheni madalali wa siasa kila kichwa wanachofanikisha kukinunua hula cha juu ni mbunu mpya ya kula pesa za CCM kienyeji kwa kisingizio cha kuinyong’onysha chadema, kila mjanja akitaka kula pesa ya CCM huenda na gia ya kuiteketeza chadema, kwa sasa chadema ni ajenda kuu huko CCM.
 
Hasara aliyoipata mama yako haipimiki ! kuna haja ya kuhalalisha utoaji mimba
Unaona ss ww ulivyo mjinga chama kinawafia kwa point za kijingakijinga kama yako Nina uhakika mchango wako ww kwa taifa lako liko negative hizo ngonjera za mipasho zenu zililipa wakati wa kikwete kwa Hutu magufuli hata asipoongea aliyoyafanya mema kwa Watanzania yataongea
 
Vipato vya kifisadi huko CCM ni vingi mojawapo ya kipato cha kishetani ni hiki kikundi cha kuwanunua wapinzani ambacho kimesheheni madalali wa siasa kila kichwa wanachofanikisha kukinunua hula cha juu ni mbunu mpya ya kula pesa za CCM kienyeji kwa kisingizio cha kuinyong’onysha chadema, kila mjanja akitaka kula pesa ya CCM huenda na gia ya kuiteketeza chadema, kwa sasa chadema ni ajenda kuu huko CCM.
Kusema wapinzani wamenunuliwa ni kuudhalilisha upinzani hili nalo ni tatizo jingine kwa wapinzani yaani mnajidhalilisha kwamba mnafika bei kirahisi
 
Mjanja mjanja atashughulikiwa kama wahalifu wengine tu kwa mujibu wa sheria za nchi yetu zinazomzuia MTU kuongea lolote atakalo
Utawala huu wa awamu ya tano ya Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu hauongozi kwa mujibu wa Sheria na katiba bali unaongoza kwa mujibu wa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM Taifa, ndiyo maana kule Bungeni Ndungai aliwavua ubunge wabunge wa CUF kienyeji na sasa kaamua kuwakubali wabunge waliovuliwa uanachama chadema kienyeji, spika mwenyewe analiongoza bunge kienyeji kwa mujibu wa Sheria zake binafsi
 
Back
Top Bottom