Kwa aliyoituhumu Tanzania akiwa ughaibuni, Lissu hatakiwi kabisa kukanyaga ardhi ya Tanzania

Nyumbu ndio wanajibu shombo hapa,umeongea sawa kabisa,huyo bwege angekua anafanya hayo akiwa wa hapo tu Rwanda angeshachezea kalinye ya kutosha hukohuko alipo.nchi yetu ina amani sana wanamuacha tu aropokwe.
Wewe ndio libwege na ndio maana unaweza fanyiwa lolote na ukakaa kimya mwenye akili hawezi endeshwa ndani ya nchi na wanaojidai eti wao ndio wana haki zaidi ya wengine
 
Magufuli utamuona mkorofi ukiwa mjanjamjanja lakini hakuna huruma kubwa kama kujenga vituo vya afya 467 nchi nzima ni huruma ambayo hakuna mwanadamu atayemlipa hiyo fadhila magufuli ukiwa mjanjamjanja lazima utamchukia tu
Huo ni wajibu wake kutekeleza kwa Kodi za wananchi
 
Kituko hiki!

Sasa kwani yeye ndo yupo bungeni? Kama wabunge wenu wanakimbia Corona unategemea Nini?

Kwa ufupi mwambieni Lissu na taarifa zimfikie kuwa TANZANIA IKO IMARA NA HAITAYUMBISHWA NA WACHUMIA TUMBO , JPM NI KITU KINGINE,KAMA ANABIPU ATAPIGIWA!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuandika upuuzi wewe,huna uwezo wowote wa kusema eti mwambieni Lissu wewe ni wale wa ndio hamjielewi Mafisi maji nyie
 
Na kwa yale aliofanyiwa Tundu lisu ya kupigwa risasi ili afe,lkn alie muumba akakataa je waliompiga risasi walitakiwa wafanyweje?
Muulizeni Mbowe alifanya nini na alifeli kukamilisha hatua gani. Mpaka mliyepanga naye hampo naye tena. Wametonya Mipango Mipango yote mpaka mnaenda Kukamilisha mauaji.
 
The man is naive ameropoka toka mwaka Jana serikali haijamjibu chochote

Amezunguka akihamasisha mabaya yote ya nchi serikali imekaa kimya

Nadhani huyu jamaa anaichukulia poa sn Tanzania kwamba unaweza Fanya chochote bila kufanywa chochote .
Jamaa anasahasau kwamba anaowategemea tuliwafurusha wakaondoka wakatuachia nchi yetu
.huyu jamaa akianza kujibiwa na dola na wala si serikali msije tena mkalia lia nchi haichezewi kipumbavu namna hii nchi hii imejengwa kwa misingi ambayo hakuna wa kuibomoa

Kwa hiyo ujuaji una mwisho tumeshaaamua nchi iende na itaenda yeyote aaamuaye kuikwamisha atasagwasagwa kwa government machinery
Kuna watu wanacheza na moto
Akili yako inatosha kutongoza na kulea watoto usiilazimishe kufikiri mambo makubwa utapata kichaa,,,
 
Magufuli utamuona mkorofi ukiwa mjanjamjanja lakini hakuna huruma kubwa kama kujenga vituo vya afya 467 nchi nzima ni huruma ambayo hakuna mwanadamu atayemlipa hiyo fadhila magufuli ukiwa mjanjamjanja lazima utamchukia tu
Kujenga vituo vya afya ni huruma? Una akili timamu wewe? Hizo pesa za kujenga unafikiri kazito kwake Chato! Hizo ni kodi za watz wote uliwemo na wewe usiyejitambua.
 
Tundu Lisu hana shukrani aliyempa huduma ya kwanza pale Dodoma ni katibu mkuu wa afya hivi wanaotaka wakuue waokoe maisha yako just imagine
Huyo katibu mkuu wa afya alitimiza wajibu wake na anajua thamani na utu wa binadamu. Wewe ndiye unataka kuonesha kwamba alikuwa kati ya waliotaka kumuua Lissu.
 
Hakuna mwenye uwezo wa kuongea lolote atakalo juu ya Tanzania eti uropoke tu oils kitu uachwe muulizeni miguna miguna awasimulie anayoyapitia ss HV Tundu Lisu amejitakia mwenyewe hawezi kukanyaga ardhi ya Tanzania halafu aachwe tu yy ni nani?
Niwekee hapa jambo moja tu ambalo Lissu aliiongea vibaya Tanzania.!
Au kwa akili yako CCM ndiyo Tanzania?
 
Unajitutumua mwenyew kumbe mpira deki tu pale makao makuu yaa ahmaku
Ww unipuuze usinipuuze haikusaidii lolote lkn labda tu niwakumbushe vijana kila kitu kina kiasi everything too much is harmful hilo lijueni ongeeni mambo yote lakini msivuke msitari mwekundu hii ni hatari usifikiri serikali ni mama yako au baba yako serikali ukiwa kazidi inaitwa dola, dola haihojiwi hutenda bila kupepesa
 
acha unazi ww! tuliowategemea tuliwafurusha wakatuachia nchi yetu wa akina nan? mbona mpaka leo tunawategemea na kuwasujudia? kweli nimeamin banian mbaya kiatu chake dawa, tunawaponda wazungu kwa kuwaita majina ya kila aina halafu kesho unaona watu wanakuja majukwaan na kumpongeza mh kwamba wazungu wamekubali uongoz wake na wameamua kutoa msaada wa dolar kadhaa! sasa tunawaponda uku tunawaomba msaada kila kukicha, kama humtaki mtu achana na msaada wake pia, sasa sisi tunaponda uku bakuli tunapitisha kama kawaida
 
Na kwa yale aliofanyiwa Tundu lisu ya kupigwa risasi ili afe,lkn alie muumba akakataa je waliompiga risasi walitakiwa wafanyweje?
A good question! Mpiga risasi(muuaji) na mropokaji ( japo siyo kweli) ni yupi anafaa kuishi nchini. Hivi Wasukuma mnataka kubaki wenyewe hapa nchini?
 
Tiss wakiacha tukio hili litokee TZ inakwenda kutumbukia kwenye dimbwi la damu itakayoacha historia mbaya
Corona imetuacha salama hili halitatuacha salama abadan
 
The man is naive ameropoka toka mwaka Jana serikali haijamjibu chochote

Amezunguka akihamasisha mabaya yote ya nchi serikali imekaa kimya

Nadhani huyu jamaa anaichukulia poa sn Tanzania kwamba unaweza Fanya chochote bila kufanywa chochote .
Jamaa anasahasau kwamba anaowategemea tuliwafurusha wakaondoka wakatuachia nchi yetu
.huyu jamaa akianza kujibiwa na dola na wala si serikali msije tena mkalia lia nchi haichezewi kipumbavu namna hii nchi hii imejengwa kwa misingi ambayo hakuna wa kuibomoa

Kwa hiyo ujuaji una mwisho tumeshaaamua nchi iende na itaenda yeyote aaamuaye kuikwamisha atasagwasagwa kwa government machinery
Kuna watu wanacheza na moto
Wakati ukuta ye arudi tu hofu ya nn.
 
MPUMBAVU KWA KIWANGO CHA JUU SANA WEWE
 
Tundu Lisu atapata anachokitafuta
Haikuwa sahihi umpige risasi kelele za bawaba zikunyimeje usingizi, ilikuwa ni kuzijibu hoja zake au kumpuuza.Tatizo la mungu wenu anapenda Sana bifu na ligi Kama mtoto aachi vitu vidogo vipite, ningekuwa mimk nyie ongeeni we mtachoka mi napiga kazi tu.Maneno ayachomi nyumba.
 
Ni wa kupuuza tu hana jipya.hajawai toamaelezo ya mazuri ya kujenga.yeye ni uzushi tu na kujenga chuki.
 
Muulizeni Kabendera, Mdude wawasimulie kama ziko butu au haxiko butu brother cheza na vingine government machinery ukiwa umpinda pinda haujanyooka inakuchakata unanyooka
Eti government machinery we utakuwa umeokotwa vijijini then ukaibukia jkt.Jamii haiwezi simama maovu yakitawala endeleeni kuchochea asili za umma
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom