Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
Last edited by a moderator:
Cc watu 8, himidini, Eiyer
Nani atataka kuoa mwanamke anawasiliana kihuni namna hii, unashindwa kumalizia elufi moja tu, si ndo mnawasukuma waume wenu kabla hawajamaliza nyie au kuipua chakula kabla hakijaiva.
nina 26year nina hitaji mume aliyetayar kunieshim na kuwa mkwel kwangu!!
nichek kwa (annieswai41@gmail.com)
Funguka zaidi kuhusu ww,dini,elimu,kabila n.k na walau mwanaume wa aina gani unayomhitaji coz kama binaadamu lazima uwe na prefernce zako,hii itakusaidi kutopata request ambazo hauzihitaji.
hata kama ni mme wa mtu? maana hujaweka vigezo.
Me mtoto. Ngoja nipite 2nina 26year nina hitaji mume aliyetayar kunieshim na kuwa mkwel kwangu!!
nichek kwa (annieswai41@gmail.com)
Nani atataka kuoa mwanamke anawasiliana kihuni namna hii, unashindwa kumalizia elufi moja tu, si ndo mnawasukuma waume wenu kabla hawajamaliza nyie au kuipua chakula kabla hakijaiva.
mke/mme mwema hutoka jamii forums!!utapata dada angu!! mume mwema hutoka kwa Mungu!! ol the best shostito..
Cha ajabu ukionana naye tu utachanganyikiwa na urembo unaanzisha bifu na mchumba wako.
mhhhhhhhhhhhh
Hata yy ni mke wa mtu
hahahahaaaaa, kwa hiyo anataka part time eh?
nina 26year nina hitaji mume aliyetayar kunieshim na kuwa mkwel kwangu!!
nichek kwa (annieswai41@gmail.com)