Kwa aliye tayari kuwa mume wangu

Kwa aliye tayari kuwa mume wangu

valentine iz on the way:love::flypig::flypig:
 
Funguka zaidi kuhusu ww,dini,elimu,kabila n.k na walau mwanaume wa aina gani unayomhitaji coz kama binaadamu lazima uwe na prefernce zako,hii itakusaidi kutopata request ambazo hauzihitaji.
 
Mungu akusaidie mama makwazo hayana budi kuja ila vumilia tu utapata.
 
Ngoja kwanza huu msimu wa v.day upite.
Na ulitakiwa useme unahitaji maombi mangapi!
 
Ukimchambua sana kuku hutamla
Ngoja nijongee mama nipokee mie moyo mpweke nikiunganisha na moyo wako tutoke
Umejieleza vya kutosha wenye nia tunakutafuta
 
Kila la kheri Mungu akujalie sawasawa na hitaji la moyo wako
 
nina 26year nina hitaji mume aliyetayar kunieshim na kuwa mkwel kwangu!!
nichek kwa (annieswai41@gmail.com)

Nani atataka kuoa mwanamke anawasiliana kihuni namna hii, unashindwa kumalizia elufi moja tu, si ndo mnawasukuma waume wenu kabla hawajamaliza nyie au kuipua chakula kabla hakijaiva.
 
Haya bana ngoja nisikie midume ya humi inavyojibu
 
nina 26year nina hitaji mume aliyetayar kunieshim na kuwa mkwel kwangu!!
nichek kwa (annieswai41@gmail.com)

elezea sifa zako hapa,wewe ni mrefu ama mfupi?mweusi ama mweupe? mnene ama mwembamba? una mother face amababy face? elimu yako? dini na dhehebu lako? kabila lako nk nk
 
nina 26year nina hitaji mume aliyetayar kunieshim na kuwa mkwel kwangu!!
nichek kwa (annieswai41@gmail.com)
nimependa sana sana Annie ulivyomuwazi....
umekuwa muwazi and very positive bila woga,wenye kukuhitaji watakutafuta PM,Wamwage sera zao,lazima wakupe majina halisi,wakishakupa watafuta kwenye fb,linkedlin,etc kujua ukweli wao,hata kwenye simu zao verify their names with respect to their numbers.wafanyie enterview ya oral kwanza kuhakiki Dhamira zao,hakikisha unamjua/wajua kabla ya wao /yeye kukujua i.e wewe ni nani,unaishi wapi,unafanya wapi/shughuli gani nk.usiwe na haraka nao.....bt USITUMIE MUDA MREFU KUMSOMA MTU WAKATI,BE DIRECT AND SPECIFIC.
 
Back
Top Bottom