Nadhani hana haja na mengi anataka uwe kidume tu
Mengine ni baada ya mechi.
Anasku nyingi inahitaji ikwanguliwe
Kugegedwa kwanza mipango baadaye.
nakutakia kila la kheri.........japokuwa humu ni uzushi tu
i think she is not after kugegedwa angetaka kugegedwa huko mtaani kwao wapo kibao... Nahisi anahitaji ndoa lakini ameshindwa kufnguka zaidi kuhusu yy na me yupi anayemtaka ila ataenda kuchuja mwenyewe huko kwenye mail yake.
I think you fit the criterias.....🙂Kazi kweli kweli!
jana nimefundishwa kuhusu AURA, niko makini sana sasa hivi, msiniletee nuksi
je wajua kuna siku wasira alipita kijiji kimoja watoto wakakimbilia majumbani kwao huku wakilia mamaaaaaaa tumeona duduuuu! Lakini kwa msemo wa siku hizi "mwanaume pesa sura tutavumiliana" ndo maana ukiona vidumu vya huyu duduuuu huwezi amini vinawaka kama nyota ya alfajiri
I think you fit the criterias.....🙂
ha ha ha aiseee mimi49 doesnt fit the criterias!!!Mbona moyo wangu ulishauteka wewe..lol!:embarrassed1:
Mkuu ninyetishie kuhusu hio ishu!
hili changa la macho!!hebu kasome ule uzi wa HimidiniWewe tena, u fit my criterias yaani this is what they call love at first chat not sight..:wink2:
hili changa la macho!!hebu kasome ule uzi wa Himidini
https://www.jamiiforums.com/mahusia...tionships-dont-run-faster-than-your-legs.html
ngoja nikutafutie link kaka, ukiisoma hiyo unaweza juta
nimesubiri link kaka.. make it happen..