structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 910
Nimevutiwa na namna unavojibu. Kama ndani ya moyo wako unasadiki unayoyasema, Mungu atakufanyia.wepesi katika kumpata mwenza wako.
kweliMvua hizi mpaka zije kuacha nyesha tutajionea mengi... Nakutakia kila kheri mwanakwetu Hirosy
mkuu,naona avatar yako ww ndo inatisha zaidi hehehehMimi nilikuwa teyari Ila avatar yako imenitisha naogopa!.
hahhaha basi mkuu msamehe bure...hahahahahNi vigezo gani ulivyotumia na kuamua kuniita mama?
Ok sawaMimi ni binti nina miaka kati 24 hadi 27 yani hapa kati.Nina sababu maalumu za kutokutaja miaka kamili najitegemea, ni mweusi maji ya kunde, nimekuja hapa natafuta mwenza wa maisha, aliye tayari kuwa na familia yaani baada ya kuoana na kuweza kuwa na watoto na mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kujitegemea na kuja kutunza familia yake.Ambae yupo tayari kwa ndoa na sio kuzini awe tayari kupima HIV na mwenye uvumilivu.Napenda kuheshimiwa na kuheshimu pia awe na umri kati ya miaka 30 -38.
Kama uko tayari ni PM number kisha tutajuana.
Kama hutaweza kuchangia hii mada bila kumkwaza mtu,naomba upite tu.
Ahsanteni
kama hujapata nicherk pm plsMimi ni binti nina miaka kati 24 hadi 27 yani hapa kati.Nina sababu maalumu za kutokutaja miaka kamili najitegemea, ni mweusi maji ya kunde, nimekuja hapa natafuta mwenza wa maisha, aliye tayari kuwa na familia yaani baada ya kuoana na kuweza kuwa na watoto na mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kujitegemea na kuja kutunza familia yake.Ambae yupo tayari kwa ndoa na sio kuzini awe tayari kupima HIV na mwenye uvumilivu.Napenda kuheshimiwa na kuheshimu pia awe na umri kati ya miaka 30 -38.
Kama uko tayari ni PM number kisha tutajuana.
Kama hutaweza kuchangia hii mada bila kumkwaza mtu,naomba upite tu.
Ahsanteni
Jamaa umeanza vizuri,mwishoni umeboronga,sasa dada ashike lipi?Dada mi nakushauri..
Ndoa ni taasisi inayotambuliwa na Mungu. Ili ufanikiwe kupata mtu sahihi
1. Tulia kabisa tulia. Acha mapepe I mean tulia
2. Mche Mungu kwa dhati. Hii itakusaidia kupata mtu anayejiheshimu na siyo wapigaji. Maana kwa tangazo hili wapigaji huwakwepi hata kwa dawa, utavuliwa tu na utaachwa kama ulivyozaliwa unless lengo lako n hilo.
3. Fata miiko ya mila na desturi za kiafrika (jamii inayokuznguka inamchango mkubwa sana katika mafanikio yako hasa swala la kupata mchumba) Ila kwa kunata kwenu na vingereza vyenu visivyokuwa na mbele wala nyuma matokeo ndo Haya unaanza kusearch badala usearchiewe wewe..
Tatizo mkiwaga 20-24 mnakuwaga mnanata sana hayo yote hapo juu huzingatii, mkishachuja ndo mnaanza kuhaha. Anyway hujachelewa, tulia.
Kitendo cha kuhaha kusearch kwenye mitandao inaonyesha n jinsi gani ulivyodesperate na ndoa. Na hata kama ukimpata hapa mapenzi ni 40% tu hapo.
Namalizia kwa kusema weka picha, labda nitaguswa.
miaka 38 wote wameshaoa, njoo kwa kijana mwenzako wa miaka 25, tuanzishe familia.Mimi ni binti nina miaka kati 24 hadi 27 yani hapa kati.Nina sababu maalumu za kutokutaja miaka kamili najitegemea, ni mweusi maji ya kunde, nimekuja hapa natafuta mwenza wa maisha, aliye tayari kuwa na familia yaani baada ya kuoana na kuweza kuwa na watoto na mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kujitegemea na kuja kutunza familia yake.Ambae yupo tayari kwa ndoa na sio kuzini awe tayari kupima HIV na mwenye uvumilivu.Napenda kuheshimiwa na kuheshimu pia awe na umri kati ya miaka 30 -38.
Kama uko tayari ni PM number kisha tutajuana.
Kama hutaweza kuchangia hii mada bila kumkwaza mtu,naomba upite tu.
Ahsanteni