" Weka picha,Labda nitaguswa"Dada mi nakushauri..
Ndoa ni taasisi inayotambuliwa na Mungu. Ili ufanikiwe kupata mtu sahihi
1. Tulia kabisa tulia. Acha mapepe I mean tulia
2. Mche Mungu kwa dhati. Hii itakusaidia kupata mtu anayejiheshimu na siyo wapigaji. Maana kwa tangazo hili wapigaji huwakwepi hata kwa dawa, utavuliwa tu na utaachwa kama ulivyozaliwa unless lengo lako n hilo.
3. Fata miiko ya mila na desturi za kiafrika (jamii inayokuznguka inamchango mkubwa sana katika mafanikio yako hasa swala la kupata mchumba) Ila kwa kunata kwenu na vingereza vyenu visivyokuwa na mbele wala nyuma matokeo ndo Haya unaanza kusearch badala usearchiewe wewe..
Tatizo mkiwaga 20-24 mnakuwaga mnanata sana hayo yote hapo juu huzingatii, mkishachuja ndo mnaanza kuhaha. Anyway hujachelewa, tulia.
Kitendo cha kuhaha kusearch kwenye mitandao inaonyesha n jinsi gani ulivyodesperate na ndoa. Na hata kama ukimpata hapa mapenzi ni 40% tu hapo.
Namalizia kwa kusema weka picha, labda nitaguswa.
hizo tabia ulizosema hapo mm sina. mm ni binti ninae jiheshimu. na hata Kama ningempata mume kutoka kanisani au msikitini,Kama haya upendo na mm ni kitu bure tu.Dada mi nakushauri..
Ndoa ni taasisi inayotambuliwa na Mungu. Ili ufanikiwe kupata mtu sahihi
1. Tulia kabisa tulia. Acha mapepe I mean tulia
2. Mche Mungu kwa dhati. Hii itakusaidia kupata mtu anayejiheshimu na siyo wapigaji. Maana kwa tangazo hili wapigaji huwakwepi hata kwa dawa, utavuliwa tu na utaachwa kama ulivyozaliwa unless lengo lako n hilo.
3. Fata miiko ya mila na desturi za kiafrika (jamii inayokuznguka inamchango mkubwa sana katika mafanikio yako hasa swala la kupata mchumba) Ila kwa kunata kwenu na vingereza vyenu visivyokuwa na mbele wala nyuma matokeo ndo Haya unaanza kusearch badala usearchiewe wewe..
Tatizo mkiwaga 20-24 mnakuwaga mnanata sana hayo yote hapo juu huzingatii, mkishachuja ndo mnaanza kuhaha. Anyway hujachelewa, tulia.
Kitendo cha kuhaha kusearch kwenye mitandao inaonyesha n jinsi gani ulivyodesperate na ndoa. Na hata kama ukimpata hapa mapenzi ni 40% tu hapo.
Namalizia kwa kusema weka picha, labda nitaguswa.
Ni kweli ninashida na wewe umetangaza shida yako,umenirahisishia lakini nisingependa tufike mbali afu nirudi nyuma tena.usumbufu upi. mm sijaona usumbufu hapo. kwa aliekuwa (tayari )na (serious)
wewe unafanya shughuli gani maana cku hizi watu atutaki magorikipa aise mdau ebu funguka tukuelewe vizurihizo tabia ulizosema hapo mm sina. mm ni binti ninae jiheshimu. na hata Kama ningempata mume kutoka kanisani au msikitini,Kama haya upendo na mm ni kitu bure tu.
Ni pm contact zakoMimi ni binti nina miaka kati 24 hadi 27 yani hapa kati.Nina sababu maalumu za kutokutaja miaka kamili najitegemea, ni mweusi maji ya kunde, nimekuja hapa natafuta mwenza wa maisha, aliye tayari kuwa na familia yaani baada ya kuoana na kuweza kuwa na watoto na mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kujitegemea na kuja kutunza familia yake.Ambae yupo tayari kwa ndoa na sio kuzini awe tayari kupima HIV na mwenye uvumilivu.Napenda kuheshimiwa na kuheshimu pia awe na umri kati ya miaka 30 -38.
Kama uko tayari ni PM number kisha tutajuana.
Kama hutaweza kuchangia hii mada bila kumkwaza mtu,naomba upite tu.
Ahsanteni
Hajakosea bhana, mbona Biblia inasema;Dada mi nakushauri..
Ndoa ni taasisi inayotambuliwa na Mungu. Ili ufanikiwe kupata mtu sahihi
1. Tulia kabisa tulia. Acha mapepe I mean tulia
2. Mche Mungu kwa dhati. Hii itakusaidia kupata mtu anayejiheshimu na siyo wapigaji. Maana kwa tangazo hili wapigaji huwakwepi hata kwa dawa, utavuliwa tu na utaachwa kama ulivyozaliwa unless lengo lako n hilo.
3. Fata miiko ya mila na desturi za kiafrika (jamii inayokuznguka inamchango mkubwa sana katika mafanikio yako hasa swala la kupata mchumba) Ila kwa kunata kwenu na vingereza vyenu visivyokuwa na mbele wala nyuma matokeo ndo Haya unaanza kusearch badala usearchiewe wewe..
Tatizo mkiwaga 20-24 mnakuwaga mnanata sana hayo yote hapo juu huzingatii, mkishachuja ndo mnaanza kuhaha. Anyway hujachelewa, tulia.
Kitendo cha kuhaha kusearch kwenye mitandao inaonyesha n jinsi gani ulivyodesperate na ndoa. Na hata kama ukimpata hapa mapenzi ni 40% tu hapo.
Namalizia kwa kusema weka picha, labda nitaguswa.
nikiwa na mke ambaye hana shughuli yeyote ni sawa na kumchukua msichana kutoka kwa wazazi wake na kuwasaidia kulea yani kumkuza yani kwaufupi tu dunia imebadilika siyo kutegemea kila kitu kutafutiwa ndiyo maana mkiingia kwenye ndoa mnapata shida na manyanyaso sana kwasababu mnapenda kuwa tegemezi kuliko kujitegemea kumbuka heshima inaongezeka ktk familia kama utajitegemea piaunapokubali kuwa na familia utakubaliana na yote
me nataka kumega tu ni sepe zangu miekwa lipi?