Kwa aliekuwa tayari haswa

Kwa aliekuwa tayari haswa

Mimi ni binti nina miaka kati 24 hadi 27 yani hapa kati.Nina sababu maalumu za kutokutaja miaka kamili najitegemea, ni mweusi maji ya kunde, nimekuja hapa natafuta mwenza wa maisha, aliye tayari kuwa na familia yaani baada ya kuoana na kuweza kuwa na watoto na mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kujitegemea na kuja kutunza familia yake.Ambae yupo tayari kwa ndoa na sio kuzini awe tayari kupima HIV na mwenye uvumilivu.Napenda kuheshimiwa na kuheshimu pia awe na umri kati ya miaka 30 -38.

Kama uko tayari ni PM number kisha tutajuana.

Kama hutaweza kuchangia hii mada bila kumkwaza mtu,naomba upite tu.

Ahsanteni
Mwanangu Mungu akupatie haja ya moyo wako.......... lakini...........Unaowatafuta humu ni hao uwaonao huko barabarenyi
 
nikiwa na mke ambaye hana shughuli yeyote ni sawa na kumchukua msichana kutoka kwa wazazi wake na kuwasaidia kulea yani kumkuza yani kwaufupi tu dunia imebadilika siyo kutegemea kila kitu kutafutiwa ndiyo maana mkiingia kwenye ndoa mnapata shida na manyanyaso sana kwasababu mnapenda kuwa tegemezi kuliko kujitegemea kumbuka heshima inaongezeka ktk familia kama utajitegemea pia
Ni kweli ila acja ubinafsi
 
Awe tayari kupima Ngoooma!!!!!!!!!!! Ukimkuta nao je!?......Ngoja nijaribu bahat yangu PM,

BY THE WAY;hujasema upo wapi? Unajitegemeaje(kazi gani yani)?
ukinipm utajua yote
 
Yaani sasa hapa we unalazimisha ndoa mahusiano hayalazimishwi lazima mcheze kama watoto kwanza then baadae mambo yanajipa
Kuchunguzana tabia ni muhimu pia ili kuona unaweza kuishi nae au laa
Hata mungu mwenyewe hajahalalisha huko kuchezeana unakosema. unaweza mchunguza MTU Tabia bila kufanya nae ngono
 
Back
Top Bottom