Kwa akili hii ya TANROAD na watawala wetu sioni foleni zikisha Dar

Unajua hata pale ubungo mataa zamani kabla awajaweka round ya mda mfupi kwa jili ya ujenzi palikuwa na foleni isiyo isha,je kama wangeli gundua toka zamani kuweka round about isingeli kuwepo foleni iliyo tusumbua,mimi nadhani wataalam wetu wangekutana tena wajitathimini.
wanachokifanya mbezi kama si mwanaccm kukiekewa ni ngumu mno
 
Hiyo siyo ringroad. Ni heri ukae kimya tu. Hatuna ringroad Tanzania mpaka leo hii.
Labda wewe ndiye huelewi maana ya ring road... Huenda unachukulia picha ya ringi la baiskeli na kuwaza kuwa bara bara inatakiwa iwe ya duara kama ringi la baiskeli ndio iitwe ring road.

Kwa taaarifa yako, Ring road inaanzia Tegeta- Goba- Mbezi- Kinyerezi...Majumba sita- Pale unavuka barabara unaendelea Kitunda- Kivule- Msongola- Mbagala- Kongowe- Tuangoma-Kigamboni!
Nyingine inachepukia Kifuru- Pugu- Chanika- Mvuti- Msongola- Mbagala...

Kutoka Tegeta unapita Ununio- Kunduchi beach then unavukia upande wa Mbezi beach- Pale kutoka kwenye round about unapita Kawe hadi unafika Tanesco (Kinondoni- North). From there utafuata ile barabara unakuja kutokea Tirdo. Tirdo utapita mpaka Coco Beach unakuja kutokea daraja jipya la Tanzanite. Utavuka pale mpaka Sea view then unaambaa na ile bara bara ya nyuma ya Ikulu mpaka unakuja kutokea Kigamboni... Hapo ring road inakuwa imekamilika...
 
Subiri kituo cha mbezi kihamishwe foleni itapungua kwa kiasi kikubwa, pia junction ya Goba pakiwekwa fly over tatizo litaisha kabisa
 
Wataalamu ndio wameona Flyover ni solution sijui nyinyi mnachobwabwaja!
 
Subiri kituo cha mbezi kihamishwe foleni itapungua kwa kiasi kikubwa, pia junction ya Goba pakiwekwa fly over tatizo litaisha kabisa
Hicho ndo nimesema kwamba kile kilichojengwa kwenye ile barabara ndogo inayochepuka kwenda maramba ndo kilipaswa kijengwe kwenye mkutano ya Goba na morogoro road,ili magari ya morogoro road yapite juu na magari yanayotoka au kwenda Goba yapite chini
 
Dah! Watu wanalinganisha Ulaya na Bongo! Ulaya baadhi ya maeneo wana sheria ambazo haziruhusu mtu kwenda na usafiri binafsi. Wanatumia usafiri wa umma.
Sasa hapa Bongo kila mtu anataka atoke na gari lake popote aendapo hata kama huko aendako hakuna sehemu ya kupaki.
Pamoja na kuboresha miundombinu tuweke na sheria zinazolenga kupunguza msongamano barabarani.
 
Bongo ujuaji mwingi, kila mmoja anajua!
 
Acheni kubwabwaja.. hao ni wataalamu wamekaa na wameona solution ni hio.. wewe ambaye hauna utaalamu wowote kuhusu barabara unabwabwaja nini?
wewe ni miongoni wa wale wapumbavu,umejuaje sina utaalam?Au kuwa mtaalamu lazima uajiriwe serikalini?
 
Dah! Watu wanalinganisha Ulaya na Bongo! Ulaya baadhi ya maeneo wana sheria ambazo haziruhusu mtu kwenda na usafiri binafsi. Wanatumia usafiri wa umma.
Sasa hapa Bongo kila mtu anataka atoke na gari lake popote aendapo hata kama huko aendako hakuna sehemu ya kupaki.
Pamoja na kuboresha miundombinu tuweke na sheria zinazolenga kupunguza msongamano barabarani.
Ulaya nchi gani na mji gani mkuu ambapo ni lazima mtu kupanda usafiri wa umma?
 
wewe ni miongoni wa wale wapumbavu,umejuaje sina utaalam?Au kuwa mtaalamu lazima uajiriwe serikalini?
sawa mimi mpumbavu wewe mwerevu hebu tuambie utaalamu wako kuhusu interchange ya ubungo? unajua kuna njia ngapi za kupunguza traffic jam? dada kuwa mstaarabu!
 
sawa mimi mpumbavu wewe mwerevu hebu tuambie utaalamu wako kuhusu interchange ya ubungo? unajua kuna njia ngapi za kupunguza traffic jam? dada kuwa mstaarabu!
Kwani hapo juu umeona nimeandika nini na sasa unataka niandike nini? pamoja na upumbavu wako jitahidi kuwa unasoma na kuelewa
 
Kwani hapo juu umeona nimeandika nini na sasa unataka niandike nini? pamoja na upumbavu wako jitahidi kuwa unasoma na kuelewa
Jitu pumbavu halijui chochote.. tulia mpumbavu wewe hao ni wataalamu wamefanya surveys na studies za kutosha.. halafu mbwa mmoja ambaye hujui chochote kuhusu barabara unakuja kubweka hapa!
 
Mkuu matuta ni primitive style ya ccm kucontrol speed,njia hii kwenye nchi zinazotuzunguka inatumiwa na Tanzania tu under ccm, Malawi na umasikini wao nchi nzima kuna matuta matatu tu nayo yamewekwa kwenye bypass ya lilongwe
Sawa lakini kutokana na matendo ya kipuuzi wa madreva wetu, ndo maana serikali inakuja na maamuzi ya kipuuzi. Wenzetu wanasema stupid question needs stupid answer.
 
Sawa lakini kutokana na matendo ya kipuuzi wa madreva wetu, ndo maana serikali inakuja na maamuzi ya kipuuzi. Wenzetu wanasema stupid question needs stupid answer.
oooh then ccm hoyeeee!
 
Tatizo siyo serikali, tatizo wasomi wetu walisomea ujinga na hao hao tunafanya makosa ya kuwaweka kuwa wafanya maamuzi serikalini.

Hata hao ambao siyo CCM kwa sasa si walikuwa hukohuko CCM, walifanya nini?
Kuwa huru bibi, unajaribu kueleza madhaifu ya serikali katika ujenzi wa miundombinu bora itakayopunguza foleni lakini wakati huohuo unataka kuitenga CCM na upuuzi huo!
Jipige kichwa mara tatu uchangie upya.
 
Back
Top Bottom